Beki Henock Inonga Ndio Basi Tena Simba......

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Beki wa kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Henock Inonga anatajwa kuwa ataondoka mwisho wa msimu wa 2023/2024.

Hata hivyo Inonga ndani ya Ligi Kuu Bara amekuwa akitumia muda mrefu kupambania majeraha yake kutokana na kutokuwa Fiti kwa muda mrefu.


Mchezo wake wa kwanza kupata maumivu ilikuwa dhidi ya Coastal Union aliumia mguu dakika ya 19 na alipata maumivu pia April 20, 2024 Yanga 2-1 Simba dakika ya 14.

Imeandikwa na Mbanga B.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad