Kaburi la Miaka zaidi ya Mia Mbili Lililogoma Kuhamishwa Posta Dar es Salaam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kaburi lililogoma Kuhama Dar Posta
Kaburi lililogoma Kuhama Dar Posta

Hili kaburi hili historia yake haijaandikwa sehemu yoyote

Ni kaburi la aliyekuwa SHARIFA (Kiongozi) wa kipindi Mtawala wa Zanzibar, Bwana Majid Bin Said ambaye ndiye aliyeanzisha Dar es Salaam

Kaburi hili lipo zaidi ya miaka mia mbili na lilianza kujaribiwa kuondelewa na wajerumani ikashindikana waingereza wakashindwa utawala wa Mwl.Nyerere, Mwinyi,mkapa mpaka mara ya mwisho wakati wa utawala wa Kikwete ilishindikana. Ikumbukwe eneo hilo lilikuwa na makaburi mengi lakini hilo tu ndio liligoma

NAMNA LINAVYOJILINDA

Mara kadhaa walipokuwa wanapeleka Kijiko (Excavator) au Bull dozer (Tingatinga) walikuwa wamefanikiwa kulitoboa

Lakini lilikuwa linatoa harufu kali mfano wa "SULPHUR" kutoka ndani ya Kaburi na Kufanya wanaolibomoa Kukohoa sana,Kukosa Pumzi na hata Kupoteza Fahamu
Ile harufu kali huenea eneo la Mzingo (DUARA) mpaka umbali wa mita 500 na harufu hudumu kwa ukali uleule kwa siku nyingi bila Kupungua madhara yake.

Na
Mohamed Ngangambe
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad