Rais Samia Awapa Tahadhari Simba Fainali ya Muungano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Rais Samia Awapa Tahadhari Simba Fainali ya Muungano

Rais Samia Suluhu Hassan amesema amefurahishwa na matukio mbalimbali yaliyoandaliwa katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.


Akizungumza katika Sherehe za Maadhimisho hayo leo Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Rais amesema amefurahishwa na kurejeshwa tena kwa Ligi ya Muungano.


"Ninawashukuru waandaji wa mashindano mbalimbali yakiwemo ya mpira wa miguu ya Muungano ambayo timu ya mdogo angu Kassim imeingia Fainali lakini wasiwadharau sana Azam huenda matokeo yakawa mengine kabisa" amesema Rais Samia.


Ikumbukwe Simba na Azam FC zitacheza mchezo wa Fainali ya michuano hiyo Aprili 27, 2024 ikiwa imepita miaka 20 bila uwepo michuano hiyo

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad