Simba Yatinga Kibabe Fainali Muungano Cup

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Simba Yatinga Kibabe Fainali Muungano Cup

Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya fainali baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya KVZ katika kombe la Muungano.


Goli la kwanza la mchezo huo liliwekwa kimyani na mshambuliaji na Freddy Michael dakika ya 25 ya mchezo na kisha baadaye Israel Mwenda akakamilisha ushindi huo kwa mkwaju wa penalti dakika ya 90 ya mchezo.


Simba inamsubiri mshindi wa nusu fainali ya pili itakayopigwa kesho kati ya Azam na KMKM ili wacheze naye fainali ya Muungano Cup.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad