Yanga Waifunga Coastal Unioni Kwa Mbinde, Guede Aibuka Shujaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Coastal wameicheza mechi kikubwa sana , heshima kwa mpinzani kuanzia dakika ya 1-90’ ya mchezo !

Kadi nyekundu haitoshi kuwa sababu ya moja kwa moja kwa Coastal kupotezamchezo , mara nyingine saikolojia ya mchezo unapohisi kuonewa inakuongezea morali ya kupambana ingawa zipo nyakati inaweza kukudhihofisha ila kwa Coastal haikuwa hivyo , nimeona hali ya upambanaji dakika zote leo.

S/O kwa Mlinda lango wa Coastal hakuchoka kufukia makosa ya walinzi wake kwenye kila sekunde ambayo mpira ulifika eneo lake , save 5 za maana ambazo zingeweza kuwa magoli , amefuta hilo.

S/O Joseph Guede , nafasi moja adhabu moja , sifa ya mshambuliaji professional.

Coastal wametupa game bora sana !Macho yanahamia visiwani Simba SC vs Azam FCNBCPL | FULLTIME YANGA 1-0 COASTAL ⚽️ Guede Coastal wameicheza mechi kikubwa sana , heshima kwa mpinzani kuanzia dakika ya 1-90’ ya mchezo ! Kadi nyekundu haitoshi kuwa sababu ya moja kwa moja kwa Coastal kupotezamchezo , mara nyingine saikolojia ya mchezo unapohisi kuonewa inakuongezea morali ya kupambana ingawa zipo nyakati inaweza kukudhihofisha ila kwa Coastal haikuwa hivyo , nimeona hali ya upambanaji dakika zote leo. S/O kwa Mlinda lango wa Coastal hakuchoka kufukia makosa ya walinzi wake kwenye kila sekunde ambayo mpira ulifika eneo lake , save 5 za maana ambazo zingeweza kuwa magoli , amefuta hilo. S/O Joseph Guede , nafasi moja adhabu moja , sifa ya mshambuliaji professional. Coastal wametupa game bora sana !Macho yanahamia visiwani Simba SC vs Azam FC
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad