Picha za Mwigizaji Lulu Alivyoingia Mtaani Akitoka Jela

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Lulu na mama yake mzazi wakilia baada ya kukutana nje ya Mahakama, Lulu amechiwa huru na Mahakama leo january 29 2013 mchana, pembeni ni mwigizaji Dr. Cheni ambae amekua karibu na familia ya Lulu kwa muda mrefu sana.
Picha zaidi click Read More



 Lulu Akiingia garini...
Machozi ya furaha

Wasanii nao wallijitokeza mahakamani hapo kumfariji Lulu, kulia ni msanii wa filamu, Muhsin Awadh 'Dk. Cheni'
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo Cheni sijui mnyororo annual sura tu, hana influence yoyote..gala tu

    ReplyDelete
  2. anavizia kusukumwa na yeye

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha majungu kamsaidia mnasema asingemsaidia mngesema au kwasababu mdoma mali yenu?

      Delete
  3. Let this be funzo kwa lulu"......arudi shule au ajipange kiadabu

    ReplyDelete
  4. kufa kufaana.haya cheni dr love

    ReplyDelete

Top Post Ad