Diamond Asema"Mie Najituma Q-Chief Anavuta Bangi tuu Alafa Anasema Natembelea Nyota Yake-Anikome

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii  ni  kauli  ya  msanii Diamond kuhusu Q chief: mi nafanya kazi, mazoezi na dancers, nahangaika kutafuta sare, kuandika nyimbo nzuri, wakati nafanya yote hayo we unakula unga, halafu unakuja kusema nasafiria nyota yako, nisafirie nyota ya mla unga? mi staki, staki, agombane na wakubwa wenzake kina dully mi aniache na wadogo wenzangu staki...?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wadogo wanajijua ebu tupisheni kule mipasho wameanza dada zenu nae mnaiga

    ReplyDelete
  2. dogo kaza but, kelele za chura hazimzuii tembo kutokunywa maji!

    ReplyDelete
  3. hhahahahahahahhahahahahahahhahahahahahaha et kaiga dada zake mipasho!

    ReplyDelete
  4. usitukane mamba wakti ujavuka mto Usiamini umefika waza kupata zaidi

    ReplyDelete

Top Post Ad