Maskini:Mwigizaji Matumaini Aomba Msaada wa Matibabu Serekalini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KOMEDIANI maarufu Bongo, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ ameiomba serikali imsaidie kupata matibabu ili aweze kupona maradhi ya figo na ini yanayomkabili.

Akizungumza na Tollywood Newz jijini Dar es Salaam alisema: “Hali yangu bado si nzuri ingawa natumia dawa lakini sijapata tiba sawasawa. Sina fedha na familia yangu kwa sasa imeishiwa kwa sababu magonjwa yanayonisumbua ni makubwa na yanahitaji fedha nyingi.

“Naiomba serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo isikie kilio changu. Hali yangu si nzuri, nahitaji msaada ili kuokoa maisha yangu. Nina imani  nikipata tiba kamili nitapona na kurejea tena jukwaani.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duuuuuuh waigizaji bongo miguu juu yani hoiiiii and utakuta yupo miaka mingi ktk fani yakuigiza na ameshatoa film nyingi but hela hata ya matibabu hana....mungu atakusaidia na inshallah utapata msaada..!!..??..°°..//..--..μμ..¶¶..「「..」」..()..)(..¤¤..

    ReplyDelete
  2. Mm naona hawa wasanii wetu wanaubaguz flani pamoja na matabaka, mana hata haisikiki kwamba huyu dada anaumwa lakini akiumwa mtu km Ray kila kona watu wangepata habar na michango mikubwa wangemchangia, sasa cjui tunaenda wapi namna hii... Mungu atamjalia atapona jaman pole sana matumain..

    ReplyDelete

Top Post Ad