Photo:Hii Ndio Style Mpya ya Kuiba Vitu Super Market

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii Kali..Wanawake hawa wawili walikamatwa kwenye Super Market Moja nchini Kenya wakiwa wameficha Madumu ya Mafuta ya kupikia katikati ya Mapaja yao, inasemekana hii ndio staili mpya ya kuiba vitu Super Market...Ila hawa ilikula kwao baada ya kuonekana kwenye CCTV wakiweka mafuta hayo kwenye mapaja...na baada walinzi kuwasimamisha kwa ukaguzi..AIBU TOSHA ..LOOO
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni uongo halafu watatembeaje au watasimama hivyohivyo hawataondoka hembu nifafanulieni wenyekuelew kidogo niweze kuelewa watatembeaje siitandondoka

    ReplyDelete
  2. duu hyo kweli kali alf ukiwaangalia hata hawafananii na mambo waliyofanya dddddaaaa aibu cana

    ReplyDelete
  3. Wana act move au..... Manake siamini!!! Duh a'i'bu!!!!

    ReplyDelete
  4. Na nyie udaku wakisenge.. Mmepata picha ya watu wakifanyao mnadai wezi

    ReplyDelete

Top Post Ad