Tulifanya S*x For Fun Sasa Anataka Kujenga Kibanda.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hi wana Udakuz,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kaa nae mezani tupia maneno kama alikuelewe be4 naamini kwa hilo nijepesi tu.

    ReplyDelete
  2. Simple and clear kaanae vzr alafu muelekeze hali halisi jinsi ilivyo nina matumaini atakuelewa bila tatizo...!!!..??°°.

    ReplyDelete
  3. Dah! Hyo nayo ishu co kiwepes km unavyofikiria, jaribu kuongea nae kwanza huku mpenz wako pia awe analifaham swala hili illi hata akileta shida zaid hamna shida.

    ReplyDelete

Top Post Ad