Aunty Ezekiel "Wabunge wanataka kunivunjia Ndoa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameinua kinywa chake na kudai kwamba kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakimtongoza kwa nia ya kupata penzi kwake, Amani linasimulia aliyoyasema.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii juzi jijini Dar, Aunt alisema waheshimiwa hao wanajua tayari yeye ameshaolewa lakini wamekuwa wakimpa usumbufu mkubwa na kutoa ahadi balimbali, ndogo na kubwa kitendo ambacho anaamini kinaweza kuhatarisha ndoa yake.


“Mimi nawashangaa sana baadhi ya waheshimiwa, wanajua tayari nimeolewa lakini wananitongoza, mimi siwezi,” alisema Aunt bila kuwataja majina wazito hao Akaongeza: “Mume wangu akisikia napata usumbufu kutoka kwa watu wazito, hawezi kuwa na amani, bado naipenda ndoa yangu na kuachana na Sunday wangu ni ndoto.”
 Mwishoni mwa mwaka jana, Aunt alifunga ndoa na mfanyabiashara Sunday Dimonte, Dubai na mpaka sasa wanaishi kama mke na mume
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha ukiritimba we dada.
    Uliowagawia penzi mbona huwasemi,unaona utangaze uliowakataa,we vipi?

    ReplyDelete
  2. Hahahaaa mumeo kicheche so unahofu arakubwaga unajizushia hivyo ili ajue bado unasoko? Kaoge....

    ReplyDelete
  3. Kwa kitu gani kipya ulichonacho we changudoa? Usitake kujipandiha chati bure kumbe wa bei rahisi tu malaya mmoja wee.

    ReplyDelete
  4. Na wewe ni kama domo tu, huna lolote!

    ReplyDelete
  5. Huna mpango wee malaya tu‼ utongozwe na nani we malaya! huyo aliekuowa nae malaya kama wewe tu! nenda kalime mihogo Oko!

    ReplyDelete
  6. Huna mpango wee malaya tu‼ utongozwe na nani we malaya! huyo aliekuowa nae malaya kama wewe tu! nenda kalime mihogo Oko!

    ReplyDelete
  7. wasanii wengine bwana!! wakiona umaarufu unashuka anatafuta namna ya ku recharge kama vocha vile. ila kwa hili umekosea kununua vocha fake. Jinsi tunavyokujua sio mtu wakumkataa mbunge wewe, hata diwani. Danganya wasanii wenzako

    ReplyDelete
  8. Si ulizoea kuwapa labda walinogewa dudu yako tamu, wape acha kuwabania

    ReplyDelete
  9. Yaap kazi ipo hapo! Thithemi kituu!!!!

    ReplyDelete
  10. Just fyt fo ur marriage aunty majaribu yapo
    N t doesnt mata hata wakiku judge vibaya kisa past lyf yako dont lissten forget focus on ur future na mmeo
    Tena think of building a stroonger relationship ikiwezekana leta mtoto kwenye familiao uongeze faraja

    ReplyDelete
  11. Yale yale tu domo,hivi ninyi wasanii mmerogwa?acha uongo wewe ugawe utamu kwa wasanii wenzio leo umkatae mbunge una udole?jipangeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad