Bunge hili. Mnyika kashikwa na nini bungeni?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naona licha ya Akina MWIGULU kurusha tuhuma nzito bungeni, naoma msemaji wa Chama, mbunge kijana,msomi na mtoto wa Mjini Ubungo naona kapwaya. Kimya na wala simsikii kujenga Hoja nA KUKITETEA chama
Lakini hata nje ya bunge naona ameingia maji..
We Need Your Views Bro...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inaelekea huangaliagi sana bunge....

    ReplyDelete
  2. Na kweli, karopoka tu wala haangalii bunge au hamjui hata myika anaemzungumzia, coz juzi katoa hoja nzito mpaka akaungwa mkono na wabunge wa ccm pia na kipengele hicho kufutwa.

    ReplyDelete
  3. Hii blog kwa kukurupuka haijambo! Umeona tumekubana kwenye kukopi kopi umeona uje na staili ya kukurupuka! Hahahahhaa

    ReplyDelete

Top Post Ad