Nikiona chupi tu jogoo anawika nifanyaje kupata dawa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi ni mwanaume rijari nimekamilika kila idara,ila nikiwaona mademu wakikaa Vibaya na kuonyesha makufuli au akiwa amevaa suruali alafu ainame bahati mbaya kufuli ionekane basi jogoo langu linawika na linahitaji na siku hiyo lazima nitafute demu hata kama ni malaya  je wapi ntapata dawa ya kutuliza huu mzukaa?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jihadhari usipate ukimwi kaka urijali usije ukaujutia maisha yako yoote owa kama hujaowa tafuta mke wa halali sasa hivi tishio ni ukimwi urijali sio hoja kama huna mke halali

    ReplyDelete
  2. kawaida tu muda mwingine huwa anajinyoosha tu huyo.......

    ReplyDelete
  3. Dawa yake ni kutoa makalio watu wayafanyie kazi.

    ReplyDelete
  4. Dawa yake ni kutoa makalio watu wayafanyie kazi.

    ReplyDelete
  5. Jiadhali na kwnda sehemu ambazo zinauraisi wa wewe kuwacheki hao masholi hizo nguo zao kaka, pia tembelea kwa watu wa maswala ya saikolojia nadhani watakusaidia, pia uwe makini katika kudibiti hizo hisia zako

    ReplyDelete
  6. Hiyo ni Laana sio mzuka, mwishoni utaona hata chupi ya mama yako utasimamisha hilo lijimboro lako

    ReplyDelete
  7. Hiyo hali sio ugonjwa ni kitu cha kawaida. Inategemea jinsi gani nerves zako na sexual organs zina work together. Pia usisahau hormones. Wazo nitakalo taka changia ni kuwa jiulize unapata sex kulingana na nguvu za ko? Namaanisha kwamba unaweza ku ejaculate mara ngapi kwa siku mpaka ukaona huna hamu tena ya kufanya sex na kuchoka? Nauliza hivi kwani inawezekana nguvu zako za kufanya sex zinaweza zikawa kubwa kuliko mahitaji unayoyapata. Namaanisha kama wewe una uwezo wa ejaculate mara nne kwa siku na ukapata nafasi ya mara mbili tu of cause hiyo hikutoshelezi. Vingevyo ni control ya tu brain. Hata mimi nilivyo kuja Europe nilipata shida sana. Maana huku mambo ya kutembea na vichupi au uchi ni kitu cha kawaida. Baba yangu alikuwa na mwanamke mzungu basi ndani balaa tupu. Mpaka nikamweleza baba yangu kuhusu tabia hiyo. Baba akaniambia usiho hawa ni wazungu wamezoea kuwa hivyo na wewe utazoea tu, inacho takiwa ni kutafuta mwanamke haraka ili aweze kukuridhisha haja zako. Ni kweli baada ya kumpata mwanamke mambo yakaenda vizuri. Hata leo nikiona hayo hayanisumbui tena. Nimezoea na naweza control my brain.

    ReplyDelete

Top Post Ad