• Hot Topic

  May 24, 2013

  Flora Mvungi " Walio Sema uchumba Wangu na H-Baba ni Geresha Walie tu"

  WALE wasanii wawili waliodumu kwenye uchumba kwa muda mrefu, Ramadhan Baba ‘H.Baba’ na Flora Mvungi wameamua kuvunja ukimya na kutangaza rasmi kuwa wanatarajia kufunga ndoa Juni 8, mwaka huu.
  Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Flora alisema wale waliokuwa wakidhani uchumba wao ni geresha walie tu kwani siku ya kutimiza ndoto yao ya kuishi kama mke na mume imekaribia.

  “Tuko kwenye maandalizi ya ndoa yetu baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, sasa tumeamua kufunga ndoa na sherehe ya ndoa itafanyika Juni 8, sendoff Juni 4 mwaka huu ikiwa Mwenyezi Mungu atatujaalia uzima,”alisema Flora ambaye kwa sasa ni mjamzito.

  No comments:

  Post a Comment


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Urembo