Je picha hii ni ujumbe wa Rihanna kwa Chris Brown?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hit maker wa ‘Diamonds’ Riri mwenye miaka 25 ameweka picha inayoonesha sehemu zake za makalio ambayo huenda ni ujumbe kwa breezy kuwa ni kati ya vitu atakavyomiss kwake kwa kutokuwa naye japo aliweka caption inayosema kuwa hiyo ni moja ya picha katika video yake mpya.
Hivi karibuni Riri aliendelea kuvaa nguo zenye ujumbe wa kutatanisha baada ya kuvaa T-shirt yenye maandishi D.I.Y (do it yourself) na chini ya neno hilo kuna picha ya binti aliyepiga bikini na mkono wake mmoja ukiwa umeshika ikulu.


Je: Ungependa Chris awe na nani kati ya Rihanna na Karrueche Tran?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atoke na rihanna tu

    ReplyDelete
  2. Atoke na rihana au karucheche wake nyie yanawaingizia senti ngapi

    ReplyDelete
  3. Rihama ndo sahihi kwake.

    ReplyDelete
  4. rihanna ni poa ila kurumbembe xanaa

    ReplyDelete
  5. Rihanna z da best ever

    ReplyDelete

Top Post Ad