Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

  

    1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:

    (a)Miili yetu imepitwa na wakati,
    (b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.

    2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?

    (a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
    (b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

    NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wala cyo kwel kwmb kuwa na umbo nene ndo chanzo cha kutokuolewa bt huenda ni tabia zk tu! mbn wapo wanaume kibao wanaopenda wanawake wenye maumbo hyo,tulizana!!!!

    ReplyDelete
  2. Tatizo lenu kubwa nyie wasichana an wanawake wenye Makalio Makubwa Mnapenda mwanaume wa kuwao awe Na Pesa Na Wengi wa Wanaume wenye pesa ni Waume za Watu,Amuangalii zaidi mapenzi ya Kweli mpo after Money ndio kikubwa mnacho kiangalia Na kitendo cha kila mkipita upapatikiwa Na Mwanaume mwenye ela Na asio Na Ela mnajikuta mnajiona nyinyi ni bora kuliko wasichana wengine ilo ndio tatizo lenu kubwa.Mnatakiwa mtulie Na msiwe Na mashart lazima mwanaume wa Kua Na nyinyi awe Na Pesa nyingi.

    ReplyDelete
  3. Mwanamke/msichana huolewa kama atajiheshimu na kujitunza, unene au wembamba ni sifa za ziada ambazo hazina tija katika maana halisi ya maisha ya ndoa. Binafsi napenda wa aina yenu!

    ReplyDelete
  4. mmmmh mi n mnene jmn nmetulia mpk bc kiufupi nna sifa zooote za kuwa mke wa mtu ila waaaap naona umri unasonga tu

    ReplyDelete
  5. Labda unabagua wa kukuoa ndo maana bado upo single.. Me nnapenda sana wanawake wanene ila nyie mnajifanya mpo juu sana...! Fanya mpango tuwasiliane..

    ReplyDelete
  6. Sikubaliani na hoja yako auntie kwani wanawake wanene wapo kibao walio ndani ya ndoa hata mm mzuka wangu madem wanene na waliojazia makalio, kiukweli nawapendeni sana sema sijabahatika kukubaliwa nanyi but once nikimpata natangaza ndoa on the spot.. Km yupo anaejiamini kuwa ni mzuri na unene wake sio wa kuchusha anitwangie 0714244655

    ReplyDelete
  7. c kwel mbna wengi wameolewa labda we kama hujaolewa nitafte kwa numba hii0766474900

    ReplyDelete
  8. C kwel kwamba wanawake/wasichana wenye makalio hawaolei, me nakataa me nimiongoni mwa wasichana wenye makalio na vilevile ni mnene, ila nina mwanaume ambae natagemea kufunga ndoa hivi karibu...na nipo nae kwenye relationship zaid ya miaka minne


    £

    ReplyDelete
  9. chamsingi ni kutulia tu wanaume tupo tayari kwa wasichana walio tulia wenye kujiheshimu.

    ReplyDelete
  10. Sasa ninan wa kuwao nyinyi mnao gawa gawa kama pipi? Mikuma yenyewe imetumika mpaka imekuwa meusi utazani mmezaa watoto kumi bwana kumbe hamna hata mmoja, jiheshimun mtaolewa

    ReplyDelete
  11. Kila m2 na ugonjwa wake hakna cha kupitwa na wakati, huo mtazamo wako 2 labda wewe una presha ya kuolewa, kuwa makini utapata gudegude, mbona mtaani kuna mibonge kibao imeolewa, MIMI NAIPENDAGA

    ReplyDelete
  12. Mi mwenyewe napenda saaaaana wenye makalio. Wanaume walio wengi tunaangalia zaidi maisha baada ya kuoana. Ukweli ni kwamba unaweza kuwa unampenda sana mwanamke mwenye makalio lakini ukashindwa kumuoa kwa hofu utakupa pressure naye. Ndiyo maana wanaume wengi wana hamu ya kutembea nanyi kumaliza ndoto zao za kuwapata lakini wanawaogopa kwamba mnaweza msifugike baada ya ndoa. Cha msingi kwako ni kujenga mazingira kwa mwanaume ukamuaminisha kwamba uko serious kwenye mahusiano. Na pili jiepushe kuonyesha mwanaume kwamba unashabikia sana wenye nazo kwani hili litampa wasiwasi wa kutokuwa nawe endapo mambo hayataenda siku za usoni. kwa ufupi uwe muelewa na kama umempenda mwanaume mpende kama alivyo bila kujali ana kipato kikubwa au la. Nasema hili kwasababu wanawake wengi wamechukulia uzuri kama mtaji na hili ndo wanaume wanalolikimbia. Mungu atakujalia dada.

    ReplyDelete
  13. NITAFUTENI MIMI NIKO TAYARI,KWA MWAMAMKE MNENE,ILA WAE NA TABIA NZURI,0713252990

    ReplyDelete

Top Post Ad