Matokeo yaliyofutwa sasa kuzuiliwa Mahakamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya msingi itakapoamuliwa na mahakama.
Mashirika hayo yanadai serikali kupitia waziri Lukuvi haina mamlaka ya kufuta matokeo hayo na pia matokeo mabovu hayatokani na sababu alizozitoa waziri.

My take:
Kwa kipindi hicho ambacho mahakama itazuia utekelezaji wa kauli ya serikali nini itakuwa hatma ya watoto hawa? muda wa kwenda form 5 umefika na wengine wanaendelea kure-seat na wengi wanajipanga kwenda veta,
Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya msingi itakapoamuliwa na mahakama.
Mashirika hayo yanadai serikali kupitia waziri Lukuvi haina mamlaka ya kufuta matokeo hayo na pia matokeo mabovu hayatokani na sababu alizozitoa waziri.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hayo mashilika na viongozi wao hawana watoto wa kidato cha nne ndo maana ya nafanya hivyo k*m* was*ng* sana

    ReplyDelete
  2. k.z.m.z cjui akili zao zko wap hawa wasnge

    ReplyDelete
  3. Kumamae Zao Hao Wanadhani Sisi Wahusika Tunapenda Hayo Matokeo Ya Awamu Ya Kwanza?

    Serikali Futeni Bhana Tena Fasta

    ReplyDelete

Top Post Ad