Mbunge Halima Mdee Azipinga Tuhuma za kuwa ni Msagaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya so so fresh na fetty, Mh Halima Mdee jana amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja.
aah unajua huwezi kuzuia watu kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini, lakini ukitaka kumjua Halima unaweza ukamchunguza kirahisi sana, kwa kumuangalia alipotoka, historia yake na mahusiano yake, ambayo mengine ni wazi sana watu walikuwa wanayajua,
watu wanapenda ku speculate pale ambapo wanaona kitu ambacho hawati  kuona, sasa hilo swala lilishaandikwa sana, nadhani walioandika baadae wakaja kuomba radhi kwasababu waligundua wameandika kitu kisicho sahihi, probably kutokana na sauti yangu you know, probably kutokana na tembea yangu, kwasababu mimi nimekulia kwenye familia ya wanaume watupu umeona eeh, mimi nimekuwa ni mpambanaji tokea utotoni, kwasababu nimezungukwa na jeshi la kibabe, thats who iam, lakini mtu anaetaka kumjua Halima na ana uhuru tu, hata akitaka niwatajie list ya watu wangu i can do that, lakini sidhani kama is their damn business, cause ma life is personal, na wakitaka kuchunguza wachunguze kwa mpango wao na watapata taarifa, kwa uhuru tu, na wanaweza wakatoa tangazo kwamba jamani watu waliowahi kuwa na uhusiano na huyu if any wajitokeze, watajitokeza kama wapo upande huo, watajitokeza kwasababu sasa hivi si dunia huru bana ......
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukosawa sana sister. But kama kuna ukweli wowote, kaa chini fikiri kuhusu uumbaji wa Mungu, najua unatoka familia inayo mcha Mungu,, filiria kuhusu hasira yake kwa kizazi cha sodoma na gomola halafu fikiria mambo yanayotokea nyakati hizi... Ni mtazamo wangu kwa kuwa nina hofu ya MUNGU

    ReplyDelete
  2. NATAMANI NINGEKUWA WAKO

    ReplyDelete
  3. Aghhhh Halima wewe si una mla Esther Bulayo mmbunge mwenzio halafu nimesikia uatoka na yule na Hisbert unayemuonga magari ili uonekane demu lakini wewe ni dume. hahaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad