Naombeni Msaada Wenu kwa Hili Tatizo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Habari yako kaka mimi naitwa salum said nimeona hii blog yako na nimeipitia nilikua na matatizo naomba ushari, mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24 naishi london mtoto wa mwisho katika familly yangu ila nipo na baba angu peke angu wengine ni mama moja nimeondoka tanzania nikiwa na umri wa miaka 10 nikachukuliwa huku london na baba angu wa kambu yeye ndie ambae amenilea nakunisomesha mpaka nimemaliza nakupata kazi kwakusema ukweli sina mapenzi ya baba mzazi kwani hakunilea wala kunipa msaada wowote nimepata fahamu nipo kwa baba wakambu sahivi nimekua mkubwa na elimu yangu imenipatia kazi nzuri sasa baba angu mzazi ananitafuta sana mpaka amefanikiwa kupata number yangu ameniomba samahani na ananihitaji nirudi tanzania ili nimuone hali yake naniwezi kuishi nae moyo haunipi mimi kua nae kwani imani kwangu imeniondoka na amenambia kama sikirudi tanzania akifariki nitakua sina radhi zake je naomba ushauri nifanye nini juu yahili number zangu za sim hizi hapa +447404520178" Says Salum
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo ladhi haiwezi kukupata hata chembe Mama yako au Baba wako wa Kambo akikupa ladhi itakupata lakini uyo Baba yako hata akikupa ladhi gani daima aiwezi Kukupata alijificha mwanzoni kukimbia ghalama now ume Kua Na kumaliza college Na tena Unafanya kazi ndio anajitokeza tena kwa kwa Vitisho,Yaani anaonyesha ni jinsi gani alivyo kosa Busara ushauri wangu Mueleza Mama yako Mzazi Na Baba yako wa Kambo inshu yote kuusu uyo anakwambia ni Baba yako Ushauri watakao kupa uufatishe,Mtazamo wangu hapo hata akikupa ladhi daima aiwezi kukupata maana alijificha wakati mama yako anaangaika kukulea Na kukusomesha.

    ReplyDelete
  2. kaka mimi ni mtanzania nipo Tanzania ,mimi nakuambia hivi huyo baba anayekuja kukutafuta kama ,ukweli ungekuwa na maisha mabaya hasingine kutafuta hata kidogo.huyo ni MNAFIKI ACHANA NAYE KABISA .Mweshimu huyo wa kambo ndiyo baba wa kweli,kwani alikusaidia kupata elimu bila kufikiria kuwa wewe ni mtoto wake..Mwombe mungu akupe maisha mazuri. HAKUNA RATHI YOYOTE.RATHI IKO KWA ALIEKULEA 0755756624

    ReplyDelete
  3. kaka mimi ni mtanzania nipo Tanzania ,mimi nakuambia hivi huyo baba anayekuja kukutafuta kama ,ukweli ungekuwa na maisha mabaya hasingine kutafuta hata kidogo.huyo ni MNAFIKI ACHANA NAYE KABISA .Mweshimu huyo wa kambo ndiyo baba wa kweli,kwani alikusaidia kupata elimu bila kufikiria kuwa wewe ni mtoto wake..Mwombe mungu akupe maisha mazuri. HAKUNA RATHI YOYOTE.RATHI IKO KWA ALIEKULEA 0755756624

    ReplyDelete
  4. khaaa radhi haitakushika hata kidogo...yani mtu anaomba msamaha kwa vitisho...duh

    ReplyDelete
  5. pole sana salim naifahamu sana historiya yako vile vile namfahamu sanaa baba ankko mzazi ila hali yake ngumu sana rudi bongo umsaidie kwani yupo mbaya sana achana nahasira hizo yulenimzazi wako kabisa

    ReplyDelete
  6. ME NAKUSHAURI WAELEZE WAZAZI ULIOKO NAO ALAFU USIKILIZE USHAURI WAO, NA PLI MSAMEHE BABA YAKO NA KUHUSU KURUDI HUKU WE NJOO ILA UKUMBUKE KURUDI KUENDELEA NA MAISHA YAKO HUKO.NA VILVILE WE NI MTU MZIMA UNAJUA BAYA LIPI NZIRI LIPI.MUHESHIMU SANA ALIYE KUFIKISHA HAPO ULIPO JAPO SIO BABA YAKO MZAZI.

    ReplyDelete
  7. Nipigie simu kwa namba hizi +819016803408 mimi naitwa mohamedi umaarufu edy aishi japan nipigie nikupe ushauri.

    ReplyDelete
  8. Nipigie simu kwa namba hizi +819016803408 mimi naitwa mohamedi umaarufu edy aishi japan nipigie nikupe ushauri.

    ReplyDelete
  9. Salum ndugu yangu mimi nilikua na tatizo kama lako na mbaya zaidi baba yangu alitaka kuniachanisha mpaka na mume wangu kisa dini tofauti na aliniambia kabisa hana radhi na mimi.Nilimuuliza swali moja tu alikuwa wapi miaka yote hiyo mpaka anitafute nikiwa nisha kua mtu mzima na familia yangi!
    Anyway msamehe msaidie kama unaweza na unapenda kumsaidia ila lana wala huipati kama lana ataipata yeye aliyekutelekeza ukalelewa na step father! !mheshimu sana aliyekulea na muombe ushauri wake atakavyosema fuata ila na nafsi yako pia kama imeridhia sio ufanye kitu kwa shingo upande sio vema.

    ReplyDelete

Top Post Ad