Sababu Inayotajwa Kusababisha Kifo cha Msanii wa Music Ngwear

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ripoti kamili
Taarifa Nilizo Pata Kutoka South
Africa Kutoka Kwa Hussein
Original Ambaye Yupo Pretoria
Amesema Ngwear Amefariki Leo
Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na
Msanii M To The P.
Walivyokwenda Kuwagongea
Asubuhi Walikuta Ngwear
Amefariki Na M To The P
Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia
Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa
Watu Wa Karibu Wa Ngwear
Huko South Africa. Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. we nae wa wap....c tunataka habari alikokopi haihusu

      Delete
  2. R.I.P Ngwair

    ReplyDelete
  3. R.I.P ma man ngwear da fighter/+*q

    ReplyDelete
    Replies
    1. R.I.P MA BOY COWBAMA

      Delete
    2. R.I.P Ngwear I will definitely miss your personality and your music. GONE TOO SOON.

      Delete
    3. R.I.P Ngwear I will definitely miss your personality and your music. GONE TOO SOON.

      Delete
  4. jaman vijana naomba mjifunze kutokana na makosa unga m naona unaharibu maisha tu hauna faida na si ujanja potezeeeeeen

    ReplyDelete
  5. ngwear jaman inaumiza sana Mungu akusamehe na apokee roho yako.R.I.P.ur fans tunasikitika sana no 1 aezae ziba nafas yko jamaniiiiii

    ReplyDelete
  6. RIP broda frm anthre mom ill alwyz mic u

    ReplyDelete
  7. Rest in peace ngwear

    ReplyDelete
  8. R.e2rn, I.f, P.ossible broooo (MNYAMA UNYAMAN) COW BAMA, MAN NGWAIR

    ReplyDelete
  9. ï¼·asanini wa bongo naona wanaondoka mmoja mmoja .

    ReplyDelete
  10. R.i.p ngwear,we will mic u

    ReplyDelete
  11. May tha almighty rest ur soul in peace Ngwair.......

    ReplyDelete
  12. wasanii madawa ya kulevya yata wamaliza sio ishu mtakwisha tubaki mashabiki na maproduza

    ReplyDelete
  13. mungu wangu sijui anafuata nani?

    ReplyDelete
  14. mungu wangu naona sir god kaamua kuwapunguza sijui anafuata nani?

    ReplyDelete
  15. R.I.P NGWEA WE GONA MIC U.

    ReplyDelete

Top Post Ad