Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakuu Rais wa kenya Uhuru kenyata ameiponda serikali ya Tanzania kwa kuwa tegemezi kwa asilimia 40, ni mahojiano kati ya Dr Mwangi katika chuo cha KENYATA UNIVERSITY.
Je ni Kweli?
Nasubiri kuona kama Kurugenzi ya Mawasiliano na Habari, Ikulu watatoa tamko la kupinga au kukanusha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. so kama ni kweli je kaisiriba au kaweka bayana?

    ReplyDelete
  2. Hata kama ina mhusu nin kama sio unafki tu au nchi yao ndio inatupa misaada?, kama mim ni Kikwete nalichunia kiana siongei nalo

    ReplyDelete
  3. Jamani ukweli unauma ila tuukubali sisi si wakutegemea msaada kwa 40% na kabajeti kenyewe mbuzi 8bil$..... ni aibu.

    ReplyDelete

Top Post Ad