Kanye West Kushuhudia Kim Akijifungua katika Chumba cha Kujifungua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huwa ni jambo zuri na linaloonyesha mapenzi ya dhati kwa mzazi wa kiume kuwa sambamba na mwenzi wake katika chumba cha kujifungulia ‘delivery room’, ikiwa ni ishara ya kujali na kumsupport kwa kazi ngumu aliyoifanya mama katika miezi 9 ya ujauzito na uchungu wa kujifungua.
Ladies and gentlemen rapper Kanye West anatarajiwa kuwa na mama wa mtoto wake mtarajiwa Kim Kardashian katika chumba cha kujifungulia, kushuhudia jinsi mwanao mpendwa akiwa anaanza kuvuta hewa ya dunia kwa mara ya kwanza.

Chanzo cha kuaminika kimeuthibitishia mtandao wa Hollywood life kuwa Kanye sio tu atakuwa na Kim chumba cha kujifungulia bali anashauku kubwa kuwepo wakati Kim anajifungua.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona kawaida hiyo Mie mume wangu mama angu mama mkwe wote walikuwapo Kwenye chumba cha kujufungulia .

    ReplyDelete

Top Post Ad