Mtanzania Feza Kessy Anusurika Kutolewa Big Brother Africa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtanzania Feza Kessy ambae yuko ndani ya Jumba la Big Brother Amenusurika kutoka katika jumba la Big Brother Baada ya kuwekwa katika list ya Wanaopigiwa kura kutoka na Betty ambae alikuwa Head of House wa Week iliyopita...
Walio pigiwa kura kutoka ni LK4 wa Uganda na Koketso wa South Africa.
Hongera Fezza
Hivi ndivyo walivyopigiwa kuru na nchi tofauti :
Total: Hakeem = 6; Feza = 3; Dillish =3, Koketso = 2, LK4 = 1. (Total: 15 Votes)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad