Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.

Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni hii katika mkutano wa kumnadi diwani wa CCM

Hali hiyo ilisababisha sintofahamu kubwa na Mwugulu Nchemba aliokolewa na polisi walioitwa kuja kutuliza mambo.

Wananchi hao walichukizwa na siasa za matusi zinazofanywa na Mwigulu dhidi ya Chadema na viongozi wake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad