REGINALD MENGI; UMEWAGAWAWIA CCM WAITAWALE ITV WATAKAVYO?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwako mzee Mengi, zamani miaka miwili iliyopita kituo unachokimiliki cha ITV ndicho kilikuwa namba moja kwa habari za kweli na zisizoegemea upande wowote. Weng waliipenda ITV na kuipotezea kabisa TBCCM ambayo hatakuisikia HATUITAKI tena kwa habari za kichama zinazoendelea kule. Sasa mzee Mengi sikufich kituo chako sasa hivi si kituo cha watu wote tena. Taarifa ya habari ni hovyo hovyo na unaweza kuvunja TV kwa upendeleo wa wazi tena watangazaji wanawapa muda mrefu ccm katka hoja zao na habari zao. Wanapokuja CHADEMA basi ni habari inayoiponda na kuisaga CHADEMA. Yani ni upendeleo hata kwenye mada za vipimajoto vyenu yani iwe makala hata tangazo ni upendeleo kwa CCM. Naomba uweke wazi Mengi kama umewauzia ccm au wamekodi kwa ubiya au wana hisa au ikoje? Wanaitumia na kutoa maelekezo ya nini kifuatwe au kitangazwe. Tayari kila mtu anawalalamikia na mmejijengea chuki tayari kwa wapenda haki. ACHENI UPENDELEO NA KUIOGOPA CCM...
By bluetooth23

SOURCE:JAMII FORUMS

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. So wewe uliyepost hapo unataka aipendelee chadema pia wewe ni fala huwez mkomvice sir Meng kua na itikad fulan acha upuuz wako mseenge ww

    ReplyDelete
  2. Upumbavu mtupu! Toa posti ya kitoto hiyo!

    ReplyDelete
  3. Hawana upendeleo kabisa,na hapo we ndo umeonyesha kuwa mbaguzi ki itikadi,tena kwa taarifa yako kituo hicho ndo kinapendwa na watu wengi kikifuatiwa na kile cha Mwanza.Fanya utafiti vzuri,usilete mambo ya kivyama kutaka kutugawa watz.Unapoongea kitu kifanyie utafiti kwanza.

    ReplyDelete
  4. Mi namsaport mwana blog bana siku hizi I T V ni ovyo tu habari zenyewe ni ovyo then CCM nyiiiiiiiiiingi arudie mfumo wake wa mwanzo la sivyo kituo kitapoteza sifa

    ReplyDelete
  5. Ni kweli Itv imedododa,hebu fikiria lile tukio kubwa la bomu Arusha kweny mkutano wa chadema itv hawakutangaza habari ile usiku ule ili kuibeba ccm kwenye uchaguzi wa kesho yake.

    ReplyDelete
  6. kama huamini itv ni ccm dugu moja ,linganisha nembo ya itv na rangi za ccm uone.lakini huenda mzee mengi hausiki moja kwa moja ila kuna kidudu mtu anamzunguka kule studio.

    ReplyDelete
  7. Chumba cha habari cha itv kimeshaingiliwa nq mamluki wa ccm kama walivyoingiza mhariri mamluki aitwae msaky kwenye gazeti la mwananchi.gazeti hilo limekuwa baridi,si chochote si lolote tena,mwananchi kwishneeeee!

    ReplyDelete

Top Post Ad