SHAMSA: NAOGOPA SANA NDOA WANAUME NI WATU WA KUBADILIKA, NASUBIRI AHADI YA MUNGU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya hivi karibuni mchumba wake anayejulikana kwa jina la Dickson ‘Dick’ kuukacha uchumba, msanii wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na kusema anaogopa sana ndoa.

Akistorisha na paparazi wetu, Shamsa alisema japokuwa mwanamke yeyote anahitaji kuolewa lakini yeye anaogopa kuingia kwenye ndoa kwani wanaume ni watu wa kubadilikabadilika kama kinyonga ambapo huwanyima uhuru wake zao kwa kuwawekea sheria kali.
“Naogopa ndoa mwenzenu, wanaume ni watu wa kubadilikabadilika. Nasubiri ahadi ya Mungu kama ni mapenzi yake nifunge ndoa na Dick basi itakuwa kama siyo siwezi kulazimisha kwani hapendi niigize kitu ambacho siwezi kukiacha,” alisema Shamsa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hayo ni kwa upande wako .hatujamsikia mwenzio tukajua nani mkweli. kama kweli ndogo bd ..mungu ataonyesha njia. maake Dada zetu na nyie siku Hizi mnahalibu then..wanaume wanasingiziwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad