SHOW YA MWANA FA AMEAMBULIA PATUPU.... WAJITOKEZA WATU WACHACHE-TAZAMA PICHA NA VIDEO HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nilikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FA kala shavu. FA katia huruma sana. Yaani mlangoni kulikuwa na wanafunzi wachache wa IFM ambao walikua wakiingia kwa bei ya kandambili. Jamaa wa mlangoni walikua wakiwabembeleza watu wachukue tickets japo kwa 10,000/= lakini madent wa IFM walikomaa mpaka kwa 5,000/- kwamba boom limekata... Mdau
Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
 Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
 Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.
 Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.
Asma Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama Zamani Ijumaa 14/6/2013.
Angalia Video Hapa:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We jamaa ni muongo jana ktk show ya FA hukuna tiket ilouzwa mlangoni mwanangu hata kama haumpend jamaa try to b fair hyo ndo misngi ya taaluma ya uanhsh wa habar et wanafunz waliingia kwa 5000 this is a bgest lie of all time
    assholeeeee

    ReplyDelete
  2. Wewe uliyeandika hapo juu na kumwambia mwandishi ni muongo wewe ndio Muongo namba moja na uache Unazi je ulikuwepo kwenye Show..?? Jamaa yupo right kabisa tuliokuwepo tumeliona hili kuna muda tukubaliane na ukweli ubishani wa kijinga haufai kabisa... Show watu wameingia mpaka na Buku 5000 sasa unachokataa nini????

    ReplyDelete
  3. Wewe uliyeandika hapo juu na kumwambia mwandishi ni muongo wewe ndio Muongo namba moja na uache Unazi je ulikuwepo kwenye Show..?? Jamaa yupo right kabisa tuliokuwepo tumeliona hili kuna muda tukubaliane na ukweli ubishani wa kijinga haufai kabisa... Show watu wameingia mpaka na Buku 5000 sasa unachokataa nini????

    ReplyDelete
  4. Shenzi acha uongo

    ReplyDelete
  5. Kakusanye tena habari vizuri ndo uje uandike mazafanta mkubwa

    ReplyDelete
  6. Hahahaha mi yangu macho tu mpitaji

    ReplyDelete
  7. Acheni kuzingua ile show ticket ziliisha alhamis kwahiyo hakukuwa na ticket iliyouzwa getini

    ReplyDelete
  8. Kabla ya shoo kuhairishwa,tayari ilishakuwa sold out,sasa huzo zilizouzwa mlangoni zilikuwa za kuingia mechi ya taifa stars na ivory coast au,acheni kupotosha watu,

    ReplyDelete
  9. show za watu mnachogombana nn by da way mwnafa hana njaa km mnavodhan respect mwana fa

    ReplyDelete
  10. sold out wakati seat zilikuwa empty, hive mnajua manna ya sold out????? au kuna walionunua tiketi halafu hawakwenda????? MwanaFAtuma kabuma acheni ushamba fungukeni

    ReplyDelete
  11. FA kachemka aiseeeh na ameshusha sana kiwango cha madhabiki wake.. Na as the results, clouds wanamtema si punde maana i don think kulikuwa na haja ya kugonganisha show na komandoo wakati wote ni wakongwe na music na wanauchungu nao.. Hez tooo faaakeeeee...!

    ReplyDelete
  12. MwanaFA hana Njaa Kama Huyo Mnayemuita Anakonda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HV UNAJUA MTU AMBAYE HANA NJAA, WALE NI WATU WAWIL TOFAUT, YULE ANAKOD UKUMBI HUYU ANAFANYIA SHOW KWNY UKUMBI WAKE, YUO ANA NJAA....

      Delete
    2. njaaa????nani jay dee we unaumwa sio bure eti sold out da fuck nyie wa2 mbona mnaongea km mmekatwa vichwa show ilibuma datz it

      Delete
  13. kauvaa mkenge wa Clouds..wamemuuza bure.mi nilidhani msomi ana busara kumbe kakubali kutumikishwa? mbaaaaaf zake

    ReplyDelete
  14. sold out wakati kulikuwa na empty seat kibao!!!! au hao jamaa wenye hizo tickets walienda kwa Anaconda, coz kulikuwa na vibe ya kutoshaa.. mchizi kajidhalilisha kinoma aisee.. i think its safe to call him MwanaFatuma.

    ReplyDelete
  15. Akaogee maji ya mchele tu... the finest kwa kitu gan bn.....u are out of my list nigah!!!!

    ReplyDelete
  16. pole sana mama ruge,big up team anaconda

    ReplyDelete
  17. Mwanafatuma umebugi sn cheki anavyoaibika sasa

    ReplyDelete
  18. HIZO TAARIFA ZA TICKET KUISHA ALIZITOA NANI KAMA SI BLAUZI FM?

    ReplyDelete
  19. Ä·Ä«la mtu hupewa anachostahili kupata, hicho ndio saizi yako Mwana FA.

    ReplyDelete
  20. SIKIO HALIWEZI KUZIDI KICHWA HATA SIKU MOJA NA IKITOKEA NI MAAJABU! KWELI KABISA BROTHER F.A UNAKUBALI KUFANYA SHOW SIKU MOJA NA JIDE? KWELI KABISAA? HAPO NDIPO ULIPOKOSEA NAAMINI UNGEFANYA SIKU TOFAUTI NA WEWE UNGESHINDWA KULALA KWA MIHELA AMBAYO UNGEIPATA POLE SANA ILA THAS HOW GAME IS SOME TIME YOU CAN PLAY BUT SOME TIME THE GAME CAN PLAY YOU!

    ReplyDelete
  21. mwanafa ni bwege tu we utakubalije kupangiwa kitu bwana inaonyesha udhaifu alionao yy kama mwanaume inabidi ajisimamie mwenyewe.

    ReplyDelete
  22. hahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwanafatuma huyo
    nani kanuna???????

    sie busy na kuhesabu mijihela chezea anaconda ww

    wapi the finest?????

    ReplyDelete
  23. Komando ni Komando tu Hawezi Kua Dagaa

    ReplyDelete
  24. Hamisa mwinjuma kajishusha saaaana.kasahau kua dadajide kampa mashavu ya maana ktk nyimbo zake..alikufa kwa ngoma..wanaume kama mabint..cku macho nikiyafumba..na nyinginevkibao..kakubali kununuliwa kirahic sana na hao jamaaa..kajishusha saaaaaaaana aisee..ajipange sana kutokea tena ktk hadhara mamae

    ReplyDelete
  25. big up jide keep it up

    ReplyDelete
  26. Du! aisee bongo bado sana. Mbona hawa watu wawili kabla ya msiba wa ngwair walikuwa na tarehe tofauti za show? Mwana FA ndo aliyekuwa wa kwanza kubadili tarehe, jide nae akaweka tarehe hiyo hiyo. Sasa ingekuwa busara kweli kwa mwana fa kubadili tena tarehe na watu wana tiketi mikononi tayari? Naamini tunashabikia mambo tusiyoyajua. Kufanya promo kwa njia ya ku-appeal to public sympathy kuna faida za haraka haraka ila haina faida za kudumu. Kama show ya FA iliandaliwa na clouds ina maana walimlipa FA kwa hiyo idadi ya mashabiki haimhusu na ukumbi pia ni watu wachache (400 kama sikosei). Sasa sisi tunaanzia wapi kuwa wahasibu wa mwana FA na kusema kapata hasara?

    ReplyDelete

Top Post Ad