SUGU APIGILIA MSUMARI KAULI YAKE KWA KINGEREZA KUWA WAZIRI NI MPUMBAVU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana watu walizusha eti mweshimiwa KASANDA, Ahh wapi leo Kasisitiza, zaidi msome hapo!

Joseph Mbilinyi



...naskia kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!...sina sababu ya kufuta wala kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end...kwanza 'upumbavu' sio tusi,upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack of knowledge and understanding...so hata uwe na cheo gani kama ukishindwa kuwa na 'understanding' juu ya madhara ya kauli zako kwa taifa u are stupid...ambayo kwa kiswahili ndio mpumbavu"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ha ha haaa hebu tupeni raha jamani i like that!

    ReplyDelete
  2. How can a high rank government official who is well educated come out with that statement? I think the ship is sinking and the only way is to make things worse..children are watching parliament ..what signal you are sending?

    ReplyDelete
  3. Mtu ambaye hawezi tuna akiba ya maneno take ni stupid,pinda ni stupid.asifikiri hatujui watoto wake WA mama engine walipo,ndg zetu wakiumia NA ss tunawaumiza hospitalini,

    ReplyDelete
  4. CCM wanaiangamiza nchi kwa kweli,acha watengeneze vita tutakufa wote sio chadema tu

    ReplyDelete
  5. Watu si watu juzi tu wamemtoa Mubarack watu wakafa, leo wanataka wamtoe Mursi, sasa wanachotaka nini? si wangepumzika kwanza na mauaji yaliyopita?
    Nimechoka na watu.

    ReplyDelete

Top Post Ad