TETESI:MIMBA YA PENNY YACHOROPOKA.....PENZI LAKE NA DIAMOND LAKAA PABAYA.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TAARIFA ya ndani zinazodai kwamba, mimba ya mchumba wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mgilwa ‘Penny’ imechoropoka zimevujaKwa mujibu wa chanzo makini kilichojitambulisha kwa jina la wifi (jina kapuni) kwa Penny, ni kwamba mtangazaji huyo wa Runinga ya Channel 10 cha jijini Dar hivi sasa  hana ujauzito tena kama wengi wanavyodhani.
“Penny hana mimba jamani, yupo fiti kabisa na sidhani hata kama anatarajia kushika ujauzito leo wala kesho,” kilisema chanzo hicho.


Hata hivyo, wifi huyo alisema kwamba awali kulikuwa na dalili zilizoonesha kwamba Penny alikuwa ni mjamzito kutokana na mtangazaji huyo kutumia vitu vichachu kama vile maembe na mara kwa mara alikuwa akiumwa hadi kufikia kulazwa hospitali.
Inadaiwa kwamba Penny alipotoka hospitali alionekana kuwa fiti zaidi na hakuwa na dalili zozote za kuwa na ujauzito kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Baada ya gazeti hili kupata habari hizo lililimpigia simu Penny ili kuthibitisha madai hayo:

Mwandishi: Mambo vipi, Penny pole sana.
Penny: Pole ya nini sasa?
Mwandishi: Si nimesikia kwamba unaumwa jamani na ukakumbwa na mkasa mwingine?
Penny: Mkasa gani huo unaousema maana mimi niko fiti tu.
Mwandishi: Nilisikia kwamba baada ya kuumwa na kulazwa hopsitali mimba yako ikatoka?
Penny: (Kimya kwa dakika 3) Asante ni mipango ya Mungu.
Mwandishi: Sasa unatarajia lini utapata tena mimba nyingine?
Penny :(Kwachuuuuuu). Simu ilikatwa na hata ilipokuwa ikipigwa tena haikuwa ikipokelewa.

Source:Talk Bongo Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mhh pole yake nilijua 2 ngoma ikivuma sana aishi kupasuka

    ReplyDelete
  2. mimba hewa hivi hiyo style bado ipo?ushamba mwingine noma.ila pole tafuta attension nyingine kama mwenzio diva.kaa uchi bbm huko weka hata Dp

    ReplyDelete
  3. Atakuwa ameona diamond asomeki akajimezea madonge aonekane imetokaaa chzea totoz za mjini wewe nan anataka kuwa bibi kwa stress kituzilize ukiolewa ujiachie

    ReplyDelete
  4. Mwenzako akinyolewa tia maji! Penny ana kipi cha tofauti zaidi ya waliotangulia kuwa na uhusiano na diamond? Kama mimba ndo iliyokuwa imeshikilia uhusiano wao aanze kukusanya kilicho chake. Cpati picha akimwagwa atajisikiaje maana alimfanyia wema vibweka vya kutosha!

    ReplyDelete
  5. Safi sana penny maana ungezaa filauni la bongo mwanaume anabofya kila shimo ata kinyaa hana puuuuuu chefu.utapata mbegu bora utazaa achana na mbegu ya laana hiyo.

    ReplyDelete
  6. Mama Domo hataki wakwe na wajukuu anafanya uswahililogy mambo yakwame hataki kubanywa hata baba domo kafungiwa vioo,chezea mama domo hataki kurudi tandale anakaba mpaka basi

    ReplyDelete
  7. Hiyo mimba aliitoa long time mbona kabla hata hajalazwa asijidai imetoka aliitoa yote mabaya yangezaa nyani

    ReplyDelete
  8. Da penny mbaya jamani hp ndo unachezea pesa ungekuaje km hukuwa na pesa ya kujimba da ungetisha sana maana hp ulipo unatisha da daimond kakanya mimavi.

    ReplyDelete
  9. Da penny hebu angalia ile picha ukimlisha mkweo keki ana mpomo wako da hupezi kabisa yani kwa wema ht theluthi humkuti kbs wema mzuri bwana .kamkubwa wenzako wakitema kitu wanachukua kisu zaidi lkn ww umeangukia pua pole ht hampndezani ww domo penny mpomo huo ai umechemka mbaya hp ni kwenye picha je akitoka kuamka anakuaje??????.

    ReplyDelete
  10. Daimond rudisha mapenzi kwa wema please wema anakupenda kutoka moyoni ndo maana alikupenda toka ht hujajulikana km unapenda jamii ikukubali zaidi rudisha penzi lako kwa wema .w mwenyewe unajua toka moyoni toka uwe na penny mashabiki wengi wamepungua na ukae ukijua penny kafata pesa kwako na c penzi km hutakuwa makini utajuta badae kwanza kifupi uso hauna mvuto kbs uso mkubwa hebu jaribu kumwangalia asbh akiamka da ht km mapenzi upofu ikiwezekana upapase bwana ila ukweli unao uongo?

    ReplyDelete
  11. ndo mambo pekee mnayoyajua! maisha ya mtu yanawahusu nini?

    ReplyDelete

Top Post Ad