UJIO WA OBAMA:WENZETU WANAJADILI MAMBO YA MSINGI SISI TUNAJADILI MADEGE YA YALIYOTUA NA WAZIRI GANI ATAMSHIKA MKONO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Salama wanawanchi,

Ukifatilia ziara ya Obama Southafrica, utaona jinsi media za kwao zilivyokuwa busy ku speculate mategemea ya wananchi kwa ujio wa obama. Kwetu TZ ni tofauti media na hata watu wenye nyazifa serikalini wapo busy ku-discuss waziri gani atashikana mkono na obama na nani hatashikana mkono na obama...Kweli hili ni muhimu_


Mwisho tukija humu na mitaani tunadanganyana sana kuhusu western kuja africa kuwa ni kwa mabaya tu. Sikiliza speech ya Obama southafrica ametuambia ukweli tunatakiwa kuuliza mambo ya msingi na sio fikira zetu mafano amesema marekani haina shida na energy ya africa kwao wanayo na bado wanazalisha sana...akaenda mbalia akatwambia tusifikirie kusaidiwa tu na mataifa ya nje, bali tuangalie misaada hiyo na faida zake kwa africa na tuulize mambo ya msingi kwenye misaada hiyo......ahahha hapa kiongozi obama kanaifurahisha utakuta wengi wetu huwa hatunajadili mambo ya msingi bali tunajadili udaku mafano eti wachina na marekani hawapatani so wat lol

Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad