VIDEO YA OMMY DIMPOZI ALIVYOPIGWA CHUPA NA MAWE AKIWA STEJINI NA KUKATISHA SHOW YAKE MJINI DODOMA JANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana DODOMA katika show ya Kilimanjaro Ommy Dimpoz na  madansa  wake  wamejikuta  wakiambulia  kupigwa  mawe  na  chupa  jukwaani, hali  iliyowafanya  walikimbie  jukwaa...
Pamoja  na  kupigwa  mawe  na  makopo, jamaa  walijikaza  kisabuni  mpaka  baunsa  akaamua  kuwatoa  jukwaani ili  kunusuru  roho  zao.....
Kisa  cha  kupigwa  mawe  nkinatokana  na  tusi  la  Ommy Dimpoz  kwa  marehem Ngwea...
Ommy  alimtusi  Ngwea  kwa  kudai  kuwa  ujinga  wake  ulimfanya  afe  masikini  na  kwamba  yeye  kwa  sasa  amechoka  kuzika  watu  masikini...
ANGALIA VIDEO HIYO HAPA CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dah noma kweli km vp aombe radhi huyo dogo watamuua

    ReplyDelete
  2. Dogo mpumbavu sana huyu!!agongwe mawe barabara!!

    ReplyDelete
  3. Siku zote jaribu kuulinda mdomo coz hauchelewi kuisaliti nafsi mdomo umekuponza kaka!! POLE

    ReplyDelete
  4. ha ha ha bora walivyo mfanyia hivyo

    ReplyDelete
  5. Tena na bado hapo n Dodoma bado mikoa mingne Ngwea alkuwa supanyota bahna acha ye anaefanya v2 kwa kuiga.

    ReplyDelete
  6. Tena su huyu nguruwe pori anajileta huku US kupiga show tamfanyizia tamchapa risasi tu wacha ajilete tu huku cha moto atakiona

    ReplyDelete
  7. Akome kwanza cmpend na dharau zake

    ReplyDelete
  8. Huyu dogo ni MATAKO

    ReplyDelete

Top Post Ad