DIAMOND "AWAPA MAKAVU" WATU WANAOCHUKIA MAFANIKIO YAKE....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na kumcheka...


Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameamua kutupia picha inayomuonyesha akianguka kutoka juu (angani) na kufikia chini kwa kichwa kwenye barabara ya lami. 


Picha hiyo ilisindikizwa  na maelezo yanayosema , "Najua hiki ndio mnachokisubiri, kwahiyo endeleeni kusubiri"...# Haters
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WEWE MTI WENYE MATUNDA VUMILIA MPAKA MPAKA UMALIZE HAYO MATUNDA

    ReplyDelete
  2. jamani mimba ya baby mama vipi? ipo? nijuzeni wenzangu

    ReplyDelete

Top Post Ad