HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA RAY C-UNAWEZA KUMSAHAU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C amepotea katika anga ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya matumizi ya madawa ya kulevya na baada ya kupata tiba sasa mambo yanaonekana kurudi katika hali yake ya kawaida.
Pamoja na ukimya wake katika muziki, Ray C a.k.a kiuno bila mfupa sasa anaonekana kuwa active zaidi katika mitandao ya kijamii hususan Instagram. Ray C ameshare baadhi ya picha na fans wake kupitia instagram ambazo kwa namna moja au nyingine zinaongea zenyewe (kwa kusindikizwa na captions) juu ya maisha yake ya sasa. Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu sasa hivi, thanks kwa shavu alilopewa na Rais Jakaya Kikwete ambaye anamuita ‘Daddy’. Take a look….

Hizi ni baadhi ya picha zinazomwonesha yeye mwenyewe alivyo sasa, amenenepa sana!





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbayaaaaaaaa midole mirefuuuuuu

    ReplyDelete
  2. kwa muonekano tu yupo hovyo!!

    ReplyDelete
  3. Bado saaaaaaaana

    ReplyDelete
  4. Kwanza midole inaonyesha kajichubua aache na mkorogo kama alivyooacha madawa ili tujue kwel kabadilika

    ReplyDelete
  5. umeona wapi mwandaazimu akapoa anaku afazili tu.na yeye ray c sio kama kaacha madawa kampumzika.

    ReplyDelete
  6. DAH XO MCHEZOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  7. DAH XO MCHEZOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  8. hivi kunenepa ni afya kumbe?

    ReplyDelete
  9. jmn tujaribu kuombeana mema na tupeane sapot ktk mambo ya heri

    ReplyDelete
  10. Lkn kwa alivyokuwa amefikia inawezekana kaacha, na mziki kaacha.

    ReplyDelete
  11. xaf xna rud coz recho atachukua nfax yko daima

    ReplyDelete
  12. mungu amsaidie asirudie hiyo biashara ya kubugia hayo madawa ya kulevya

    ReplyDelete

Top Post Ad