IRENE UWOYA AREJEA NCHINI NA SALAMU KUTOKA KWA MSWATI-AMEAIDIWA MAMBO MAKUBWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji Irene Uwoya amerejea nchini toka nchini Swaziland alipokuwa kwa takribani wiki tatu.
Irene Uwoya aliyerejea nchini leo hii amerejea na salamu toka nchini Swaziland alizoziandika kupitia ukrasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii alisema…
“Mswat anawasalinmu sana! Nahiv karibun atatinga hapa nakanipa kibali chakufanyya move na ful suport...I wl prove u wrong...try me”
Akimaanisha, amerejea nchini na Mswati amnawasalimia sana na amesema atakuja nchini hivi karibuni na amenipa kibali cha kufanya Filamu na atanisaidia kwa kila kitu. Nijaribu nitakuthibitishia kuwa umekosea (Kwa Kiswahili fasaha).
Bado tunamtafuta Irene amabye namba yake ya simu haipatikani kujua kama kauli hii ni ya kweli au anawatania tuu mashabiki wake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. msenge Tu hana lolote

    ReplyDelete
  2. Vipi keshaongea na Diamond au bado anamgombania Ndiku? Mfungo utaisha hivi karibuni na nadhani Diamond atataka kujiburudisha kidogo tena. Atambue kuwa huenda Ndiku sasa hivi anajua hana mke bali ana malaya wa kila kidume, kwa hiyo anaweza kujichimbia kwa Lucy muda wote akiwa anaonekana na Irene wakati wa birthday za Krish tu.

    ReplyDelete
  3. Hana mpya huyoooo

    ReplyDelete
  4. Ah waliolaanika@yahoo.com

    ReplyDelete
  5. Yaeza kuwa kweli.

    ReplyDelete
  6. Malaya mkubwa huyu, huenda Mswati pia atagonga, na yeye ni mtu wa totoz ile mbaya! eti atannipa full support, for what in return? bure? WAPI!!!!! AMWACHE Ndiku wa watu na yeye ajisevie kw LUCY, wote malaya watupu.

    ReplyDelete
  7. nakubaliana na mswati,kweli anweza kuja kutembea ""cha kushangaza atakuja bongo kwa mwaliko wa huyu masawe na sio kikwete..mswati ni dangerzone,,lazima ashakula nyama ..so suport kweli atapewa ila tayari nae kashamsapoti.

    ReplyDelete

Top Post Ad