MESSAGE ZA KIKWETE KUMUUZIA OBAMA NCHI SAWAFIKISHA WAT WAWILI POLISI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jeshi la polisi Geita linawashikilia watu wawili kwa kosa la kusambaza ujumbe kwa njia ya simu usemao, UMEPOKEA SHILINGI 50,000.KUTOKA KWA RAIS KIKWETE KAMA SEHEMU YA MGAO WAKO BAADA YA KIKWETE KUMUUZIA OBAMA NCHI!!

Kamanda wa polisi mkoani hapo alisema kwamba watu hao walikamatwa baada ya kukutwa msg hizo ktk simu zao za mikononi huku wakiwa wanasambaza kwa watu wengine.
Aliendelea kudai kua jeshi la polisi linatoa onyo kwa wale wote wanaowachafua viongozi wa kitaifa kwa njia za ujumbe kwa simu na kwamba watawachukulia hatua kali.

Source; Radio Free Afrika Matukio!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndo intelegensia ya jeshi letu ilipo ishia mambo mengine ni utani tu lakini wao wanashupalia na kuacha mambo ya msingi kama ujambazi, albino, vikongwe, mabasi kukimbia barabarani kama concord ina take off na kuua, mabom yaani shida tu. Dpp futa hiyo kase kwa akili ya kawaida tu hao watu wanatania na utani ni afya watu wanacheka hata kama umepata mlo mmoja unasahau njaa kwa
    muda.

    ReplyDelete
  2. Mamayoooo zenu mnashindwa kutafuta walusha mabomu arusha mnashabikia upuuzi,chadema wanapigwa kila siku mnashidwa kutafuta suluhu na chadema mnafuatilia ushenzi.Ass holes

    ReplyDelete
  3. Kamanda amembipu kikwete ,anajipitishapitisha,ili kikwete ampigie kwa kumpandisha cheo.Aibu!!!.

    ReplyDelete
  4. nafikiri hata rais anatambua huo ni utani, kamanda umechemka cheo upandishwi ki hivyo

    ReplyDelete
  5. Achane umbulula, badala ya kushughulikia mambo ya msingi eti mnashughulikia msg!! fanyen kaz na c kutupotezea muda kwa vitu vya kipuuz nanma hii, ina maana wewe afande ndo mara yako ya kwanza kuona msg za utani???

    ReplyDelete

Top Post Ad