MFAHAMU MWANADADA "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA PAMOJA NA "AGNESS MASOGANGE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Inahisiwa kuwa  huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward”  ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani i know this girl nimesoma nae kweli ni mdogo wakr mama zao ni mapacha sema melisa ni yatima wazazi wake walifariki wote. Maskin shida na tamaa ni tatizo

    ReplyDelete
  2. Ila siyo dhambi me naona poa kwani umelazimishwa nunua je? awe jambazi, malaya mchuna ngoz au watu walitakaje. navyojua mimi kila kilicho chini ya jua ni mali yetu ila kisizidi kiasi.
    huyu mnamshambulia vile hana vyenzo je hao wazito waliowah kamatwa wamepewa adhabu gan? sure namin sasa world is not fair.
    wengine humu ndan ni wapashikuna mnamlaumu bure akati akija kukuomba hata 100 ya pipi humpi, hyo ni ajali kazin kila mtu apambane ajuavo ila chungeni amri 10 za MUNGU. nauliza vp kuhusu wale wanauza sigara na watu wanakufa kwa T.B mbaya mahospitalin. we ar tired with unfair rules. so where are we.

    ReplyDelete
  3. wewe unatetea upupu wanavyoharibu vijana wew unaona poa au kwa sababu hakuna ndugu yako aliyeharibiwa na madawa wa kulevya china wananyonga mbona ujasema

    ReplyDelete
  4. kibaya zaidi tutakosa kuaminika tena,hatakunyimwa visa,kwani idadi yawatanzania wanaokamatwa na madawa nnje ya nchi inazidi kuongezeka,jamani hamuoni kwamba hatazile nchi zinazotaka kuweka visa free kwa tz zitashindwa?mnatuharibia sio wote tunaouza sembe wajameni.

    ReplyDelete
  5. kila cku mnakamatwa nnje ya nchi mnatuharibia wa tz,wengine tuna safiri kibiashara,sio wote kama nyinyi pumbavu!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad