STAA WA BONGO MOVIES DUDE ANASWA NA DEMU MWINGINE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amenaswa na demu mwingine aitwaye Mboni Mhando tofauti na mkewe anayeshi naye, Eva.
Dude na demu huyo aliyebainika kuwa ni msanii, walinaswa juzikati katika Hoteli ya Traventine Magomeni, jijini Dar wakijivinjari katika mikao ya kimalovee ambapo paparazi wetu alitumia kifaa maalum cha kupigia picha na kuwanasa bila wao kujijua.
Baada ya kuzinasa picha hizo, paparazi wetu alimvaa Dude na kumuuliza kulikoni agandane na demu huyo wakati ana mkewe nyumbani, alichomoa kuwa siyo demu wake bali ni msanii mwenzake eti wanapanga mipango ya kazi.

“Hapa tulikuwa tunapanga mipango ya kufanya filamu, huyu ni msanii tena wa siku nyingi sababu aliwahi kucheza kwenye Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu miaka ile,” alisema Dude huku akimsihi paparazi afute picha kama amekwisha piga.

Source:Global Publisher
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi ukiwa mhuni unapata cha zaidi gan! Utakufa na ukimwi,ridhika na mkeo, kama ulitaka ubachela kwanin ulioa?

    ReplyDelete
  2. hahahaha mi nasemaga kila siku kama huko tayari kuoa please don't! Bcoz kuoa sio lelemama jamani ona sasa mnaumbuka. Pole Mrs Dude...ila mapaparazi wa bongo mmezidi umbea khaa!! Mtavunja ndowa za watuu lol


    Onyinye.

    ReplyDelete

Top Post Ad