UWOYA, LUCY KOMBA NDANI YA BIFU ZITO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MWANAFUNZI na mwalimu wake katika sanaa, Irene Uwoya na Lucy Komba wameingia katika bifu zito chanzo kikidaiwa kuwa ni mwalimu huyo kumzunguka mwanafunzi wake kwa mumewe, Hamad Ndikumana ‘Katauti’.  Lucy ambaye ndiye mwalimu wa Uwoya kisanaa, imedaiwa kuwa amemzunguka Uwoya kwa mumewe, Ndiku kwa kisingizio cha kucheza naye filamu iliyofahamika kwa jina la Kwa nini Nisimuoe?
“Kimenuka! Lucy Komba amemhadaa Ndiku, akazuga kuigiza naye filamu moja ndipo walipozama kwenye ukaribu kwelikweli.
“Mbaya zaidi filamu yenyewe wameigiza wahusika wawili tu (Lucy na Ndiku) mwanzo mwisho kule Tegeta. Sasa wewe unafikiri kuna nini hapo kama siyo mapenzi?’’ kilihoji chanzo hicho makini.
Baada ya paparazi wetu kuyanasa madai hayo, Jumatano iliyopita alimtafuta Uwoya kwa njia ya simu ambapo alipopewa taarifa hizo, alionesha kushtuka na kuchanganyikiwa mumewe kuigiza filamu moja na Lucy, alikata simu kisha baadaye akampigia paparazi  yeye.
“Kuna wakati nilikuwa namtafuta Ndiku sijui alipo kumbe alikuwa na Lucy, sawa lakini kama Lucy ameamua kunifundisha mimi na sasa amemfundisha mume wangu sawa, tupo hapa!”
Paparazi wetu alihamishia majeshi kwa kumtwangia ‘mtuhumiwa’, Lucy ambaye alitiririka kama ifuatavyo:
“Nilijua Uwoya akisikia itakuwa ni balaa maana siku za nyuma niliwahi kumshutumu kutoka na mzazi mwenzangu (Patrick Mbasha) lakini mimi nipo tayari kwa lolote!”
Lucy Komba ndiye aliyemuingiza Uwoya kwenye sanaa baada ya kumchezesha Filamu ya Yolanda ambayo ndiyo iliyomtambulisha vyema staa huyo kisha kuliteka soko la sinema Bongo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lucy nakupa pole kwa upumbavu unaoufanya. Kwanini ufanye hivyo dadangu zaid tafuta wakwako. Chamwenzio sumu.

    ReplyDelete
  2. uwoya na wewe ukichekelea tabia ya mwalimu wako huyo atakuibia utamu wa mumeo mwishowe atakuona bwege.

    ReplyDelete
  3. daaah hawa mastaa wetu ni full kichefuchefu.

    ReplyDelete
  4. Wote malaya tu hao tushawazoea

    ReplyDelete
  5. Too much kugongwagongwa, mwisho mtagongwa na Manyau.shwainiiiiiiiiiiiii zenu.

    ReplyDelete
  6. Rubbishhhh.........Watu na viatu

    ReplyDelete
  7. We Lucy vp mm nakupenda sana natamani uwe wangu maishani unamatatizo gni uchukuwe vya wa2 tunaokupenda 2po.

    ReplyDelete
  8. Umbeya mtupu

    ReplyDelete
  9. Lucy kuma, hujielew usiendekeze njaa utakufa nayo. Boya weeeeee, nyooo tafuta wako.

    ReplyDelete
  10. Vipi kwani Uwoya ameshaachana na Diamond na kumrudia tena Ndiku, au anawatunza wote wawili Ndiku na Diamond?

    ReplyDelete
  11. Piganeni atakaeshinda ndo mwenye mme!

    ReplyDelete
  12. Ha ha ha kimenukaaaaaa.... Hao wote wamekutana Malaya tu shwaaaaaain

    ReplyDelete

Top Post Ad