Bai la Merdiani lililokuwa limetoka Rombo kwenda Dar. Limeanguka hapa karibu na mbwewe . Watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. taarifa zinasema dereva wake kafia hapo hapo na abiria wengine pia wamefariki
mungu awalaze mahala pema peponi wale waliotangulia katika nyumba ya milele,na wale majeruhi mungu awape wepesi wa kupona,warudi ktk majukumu ya ujenzi wa taifa.
My Lord God!, take their spirit at a cool place! i fel 2 cry! bt lets pray 2 God!
ReplyDeleteInna lillah wa inna illaih rajiun
ReplyDeletedah Mungu azilaze roho mahali pema pepon na majeruh awafanyie wepec
ReplyDeleteaaaa poleni sana
ReplyDeletemungu awalaze mahala pema peponi wale waliotangulia katika nyumba ya milele,na wale majeruhi mungu awape wepesi wa kupona,warudi ktk majukumu ya ujenzi wa taifa.
ReplyDeleteRaha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie .wapumzike kwa amani Amina
ReplyDelete