FIESTA 2013:AMINI AMBUSU LINAH JUKWAANI LIVE LIVE-SOMA ZAIDI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi. Lina anatamani mavituuuuuzi

    ReplyDelete
  2. Mmmmh! Am hppy coz I liked this couple

    ReplyDelete
  3. waacheni wapendane kwani mnataka kila mtu awe kiruka njia? safi linah mapenz uvumiliv nami nimefurahi mlivyorudiana tunatarajia ndoa

    ReplyDelete
  4. Mapenzi ya show off hayoooo!

    ReplyDelete
  5. C ulikuwa unalalamika vpigo wewe chezeiya mapenz eeeh! Umezunguka kote mpka marekan ila umerudi kwa mtoto wa uswahlin

    ReplyDelete
  6. lina si ana bwana akee huyu kaka wa masogange au????????nyege nazo

    ReplyDelete
  7. Naunga mkono nyege hizo hadharani.

    ReplyDelete
  8. kumbe uyu demu wa kila mtu

    ReplyDelete

Top Post Ad