GARI AINA YA NISSAN TIIDA YA MWAKA 2004 INAUZWA KWA BEI NAFUU-CHANGAMKIA DEAL

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nissan tiida
Model 2004
Cc 1490
5door
Color metallic Gold
Interior Full Gold Color finishing
Full Ac
Fully duty paid
Registered August 20
Price Starts at 12M
Contact Whatsap/call 0768570703







-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si bora niagize japancar trade view,m 3 namaliza kila kitu

    ReplyDelete
  2. Jamani huku uingereza gari bomba liyoenda shule unapata kwa million 3,pound 1500.

    ReplyDelete
  3. mnaouliza bei, mbona imeandikwa au kusoma shida

    ReplyDelete
  4. Kuropoka acheni, unapoambiwa bei ya gari ongeza nauli ya gari ongeza inspection, ongeza insuarance kwenye meli ongeza kodi, anaekudanganya m3 basi kila mtu angenunua na foleni ingeanzia kitandani.mwenye macho na aone.mbwembwe za oh niko uingereza mbona huwaelezi haya?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa sisi wanafunzi tuliosoma uingereza hatuna mahushuru hayo tukionyesha document za uanafunzi,gari linatereza free toka nandarini bongo mpaka unapoishi,ushuru free.utalipia hela kiasi tu za mambo mengine

      Delete
  5. Ni kweli magari cheap na million tano unaweza kuleta gari we apo usiwajbu vibaya. Million kumi na mbili hyo gari ilipgania Uhuru

    ReplyDelete
  6. Mil 12 it's too much for used car.

    ReplyDelete
  7. Watanzania amkeni ,usije ukaliwa bure hiyo gari sio ya kununua milioni 12 ,labda uwapelekee mererani au shinyanga migodini maana hela zao hazina kazi ,hiyo gar mtu akitaka anapata kwa milioni 9 tu .....nitafuteni mm mtapata gari nzuri ,karibuni magomeni mtapata gari nzur uliza magomeni kwa Dulla

    ReplyDelete
  8. Wadau huyu jamaa ni mfanya biashara ni haki yake kuuza bei anavyotaka. Magari ya ulaya yatakupa tabu sana, kwanza mengi yametengenezwa kwa ajili ya mazingira yenye baridi,gari muda wote lina joto tu ukichanganya na hali ya hewa ya dar ni balaa. Spear pia ni issue, ukihitaji lazima uagize Europe.Lakin kwa upande mwingine magari ya Europe ni imara sana

    ReplyDelete
  9. Akamuuzie bibi take twelve,c kivitz cha Nissan hicho,ma vi ya kuku

    ReplyDelete
  10. we anonymous wa August 23, 2013 at 9:35 PM somebody Dulla wa magomeni embu toa namba ya simu tufanya biashara

    ReplyDelete
  11. Acheni mbwembwe nyie mnasema mko uingereza kwani ukinunua gari ulaya utaituma kama msg ifike bongo?Nauli ya kusafirishia,kuisajili na ushuru wa bandarini mnajua inacost bei gani?Ukiona gari linauzwa milioni 3 nje jua limetengenezwa kuanzia mwaka 2002 kurudi nyuma je unajua ushuru wa gari chakavu kama hilo pale bandarini?Nyie ndo wale mnaoagiza magari kwa kufuata wepesi wa bei ya kununulia bila kuangalia ghalama nyingine zitakavyokua juu.Magari yanauzwa kulingana na umri wake ndio maana huko mnakosema ulaya na japan yapo magari yanauzwa mpaka milioni 20 lakini bongo utapata kwa milioni nane tofauti ni mwaka ambao gari imetengenezwa.Isitoshe mwenye gari kasema bei inaanzia sh 12M inamaana bei inapungua.Au kama vipi nyie wa ulaya tuleteeni hizo gari za sh 3M ili kila mtu amiliki yake km zilivyo simu za mkononi

    ReplyDelete

Top Post Ad