AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. Hivi ndivyo huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya (maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu
kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.
Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.
Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.
Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.
Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.
Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.
Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.
Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.
Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatar
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Achen kuficha huyo ni Ngwair
ReplyDeleteacha kuropoka unamjua ngwair ww
DeleteWe kuma kwel eti atakutokea fala kwel mku***u wa bibi yako achana n watu walio mbele ya haki
Deleteduuuuuuuuuuhm inatisha na ni hatari sana
ReplyDeleteHatari sana.. pesa tamu ila its very dangerous. Vijana tamaa mbele mauti nyuma mbona wenyewe matajiri jawabebi?
ReplyDeletevijana tuache tamaa za fedha za haraka
ReplyDeleteuuuuiiiiii,hata nduru haitoshi hapa.
ReplyDeleteMhhhh jamanii hii ni hatari sana
ReplyDeletejamani kwa stahili hii hakuna uhai kabisa
ReplyDelete