HATIMAYE JESHI LA POLISI WATOA TAMKO KUHUSU KUPIGWA RISASI KWA SHEKH PONDA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

1.  MNAMO TAREHE 10, AGOSTI ,2013 MAJIRA YA SAA 8 MCHANA, MAENEO YA SHULE YA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA MOROGORO,  KULIFANYIKA KONGAMANO LA BARAZA LA EID LILILOANDALIWA NA UMOJA WA WAHADHILI MKOANI MOROGORO. DAKIKA KUMI KABLA YA KONGAMANO HILO KUMALIZIKA  ALIFIKA SHEKHE PONDA ISSA PONDA AMBAYE ALIZUNGUMZA KWA MUDA MFUPI.

2. KONGAMANO HILO LILIFUNGWA  MAJIRA YA SAA 12:05 JIONI AMBAPO WATU WALIANZA KUTAWANYIKA, BAADHI YAO WAKIWA WAMEZINGIRA GARI DOGO ALILOKUWA AMEPANDA SHEKHE PONDA. BAADA YA KUTOKA KATIKA  ENEO HILO, ASKARI WA JESHI LA POLISI WALIZUIA GARI HILO KWA MBELE KWA NIA YA KUTAKA KUMKAMATA SHEKHE PONDA AMBAYE MPAKA SASA  ANATUHUMIWA KWA KOSA LA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI SEHEMU MBALIMBALI HAPA NCHINI YENYE MLENGO WA KUSABABISHA UVUNJIVU WA AMANI.

3. BAAADA YA ASKARI KUTAKA KUMKAMATA, WAFUASI WAKE WALIZUIA UKAMATAJI HUO KWA KUWARUSHIA  MAWE ASKARI.  KUFUATIA PURUKUSHANI  HIYO, ASKARI WALIPIGA RISASI HEWANI KAMA ONYO LA KUWATAWANYA.

4. KATIKA VURUGU HIZO, WAFUASI HAO WALIFANIKIWA KUMTOROSHA  MTUHUMIWA. HIVI SASA IMETHIBITIKA KUWA SHEKHE PONDA YUKO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI AKITIBIWA JERAHA KATIKA BEGA LA MKONO WA KULIA LINALODAIWA ALILIPATA KATIKA PURUKUSHANI HIZO.

5. KUFUATIA TUKIO HILO, TIMU INAYOSHIRIKISHA WAJUMBE KUTOKA JUKWAA LA HAKI JINAI IKIONGOZWA NA KAMISHINA WA JESHI LA POLISI  CP ISSAYA MNGULU IMEANZA KUFANYA UCHUNGUZI WA TUKIO HILO.

6. AIDHA, JESHI LA POLISI LINATOA  WITO KWA  WANANCHI KUWA WATULIVU WAKATI SUALA HILI LINASHUGHULIKIWA KISHERIA.

Imetolewa na:-
Advera Senso- SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana mzee hizo ni imani za wazungu zinazo kutesa!!!!!

    ReplyDelete
  2. this man ni hatari kwa msitakabali wa taifa nashangaa polisi wanambembeleza sana anapaswa hata afe hatuwezi poteza wa tanzania wengi tukabaki tunachukiana kwa sababu ya ponda arudi kwao Burundi walikozoeana kuuuana polisi nawashangaa sana bado et mnamtafuta mpaka kaidharau mahakama

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inshaallah m/mung atakujaalia utapina yote hii ni kwa sababu ya chuki za uislam

      Delete
    2. Inshaallah m/mung atakujaalia utapina yote hii ni kwa sababu ya chuki za uislam

      Delete
    3. Haponi Ng,oo na akipona lazima akanyee ndoo pumbavu zake.

      Delete
  3. Ww unaesema afe utakuwa ni kafiri tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. we hujui kafiri ni nini pumbavu mkubwa we na shehe wako,,hata wewe unatakiwa kupewa sumu ufe..nyambaf

      Delete
    2. Sa we na ponda nani gaidii?eti unaoda wapewe sumu wafe.kweli nyani haoni kundu lake.na wewe ndo nyani.

      Delete
  4. Msituharibie nchi jamani na udini wenu.

    ReplyDelete
  5. sio vizuri walivyofanya Polisi ila sio vubaya pia,,huyu Ponda alitakiwa kupondwa kisawasawa hafai katika jamii ni jasusi mpumbavu fala asiekuwa nahekima,alitakiwa apewe makazi huko pakistan iraq au afganistan,akahubiri hiyo dini yake.akitoka hosp anatakiwa ahukumiwe kifungo cha maisha ibilisi mkubwa huyo.

    ReplyDelete
  6. mbona amna maelezo kuhusu kama kapgwa kweli na risasi au laa

    ReplyDelete
  7. Sio kila mwislamu ana sapoti huu ujinga. Mi mwislamu lakini huyu ponda ni gaidi na anatumiwa na makundi yaliyopo nje.

    Hawezi kutushauri eti sisi waislamu lazima tuwachukie watu wote wasiokuwa waislamu kwa kuwa ni mafiri na kwamba lazima kuwauwaa makafiri ili dola ya kiislamu isimame.

    Ponda kafiri tu huyo uislamu hauelekezi mauaji.

    Acha apigwe afie mbali. Laanatullah.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio maana kuna siku ya kiama ili kila alozulumu na alozulumiwa apewe haki yake na pia hakuna atakaeishi milele kamwe

      Delete
    2. Umeongea vitu vya maana xana unafaa kuielewesha jamiiiiiii

      Delete
  8. AMA HAKIKA SISI SOTE NI WA MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA,TUSUBIRI HUKUMU KWAN NDILO SULUHISHO LA KESHO AKHERA

    ReplyDelete
    Replies
    1. uhukumiwe ww kifungo cha maisha na familia yk kelbu unusu ww!!

      Delete
  9. Serikali ikikuchukia waweza kuwa adui muda wowote kwa hiyo nawe kaa tayar kwa ajili ya kuuliwa ikifika zamu yako ndugu yangu

    ReplyDelete
  10. huyu ponda nimchochezi tu,anatafuta umaarufu wakijinga,anawafundisha nini vijana wetu?hakuna lamaana zaidi yachuki.

    ReplyDelete
  11. watu kama ponda wanatuharibia dini yetu,ss tunajua kua anatumiwa,kuharibu amani tanzania.

    ReplyDelete
  12. Arudishwe kwao burundi asituharibie amani yetu.

    ReplyDelete
  13. Yani nimechukiaaaaaaaaaa kwanini hakupigwa risasi ya kichwaaaaaaaaa???

    ReplyDelete
  14. Km binadam sifurahii kifo cha binadam mwenzangu,naamini kila dini inahamasisha amani TATIZO ukisoma sn elim ya dini bila kusoma elim yadunia ni TATIZO! Uelewa na utashi unakua mdogo,hivi vitu 2 vinategemeana.so mi naamini km utasona dini pekee bila elim dunia urahic kuonewa sn!ujue zipo sheria za dini na zipo sheria za nchi ambapo tunaishi nazote zinahitaji kufatwa vzr.mi nawashauri waislam wenzangu tusisome dini pekee elim ya dunia pia ni muhim.hakuna anaetuonea ispokua tunachanganya SHERIA ZA DINI NASHERIA ZA SERIKALI.Get well soon...

    ReplyDelete
  15. He is a terrorist .causing trouble somebody please kill him in the hospital inject him with succyconoly

    ReplyDelete
  16. my mum ni muslim jaman baba ni mkristo ila sijawahi kuhamasishwa kuwa uiskamu ni kuua watu na kuchukia dhehebu ingine PONDA IS A TERRORIST JAMAN HE NEED TO BE KILLED HIVI SERIKALI MNASUBIRI NIN AU MPAKA ALETE MADHARA KAMA YA OSAMA NDO MUMSHUGHULIKIE????NARUDIA TENA NIMEKULIA KATIKA UISLAMU ILA SIJAFUNZWA HAYO YA PONDA THE GUY IS REAL DANGEROUS IN THIS NATION ATAKUWA MZANZIBARI TUUU WATANGANYIKA HATUNA ROHO MBAYA LAANA KUM HUYO

    ReplyDelete
  17. Kama kweli wewe ni muislam halafu hujui shekh ponda anasema nn na ana msimamo gani wa dini basi na ww kafiri kama wagalatia wengine na hujui uislam wako,unadhan kuswaliswali tu utaiona pepo,jitolee kwa mali yako na nafsi yako kwa ajili ya allah,kwa maslahi ya waislam yuko sahihi,we unadhan tutadumu na aman milele wkt watu wanadhulumiana TZ.

    ReplyDelete
  18. Kama kweli wewe ni muislam halafu hujui shekh ponda anasema nn na ana msimamo gani wa dini basi na ww kafiri kama wagalatia wengine na hujui uislam wako,unadhan kuswaliswali tu utaiona pepo,jitolee kwa mali yako na nafsi yako kwa ajili ya allah,kwa maslahi ya waislam yuko sahihi,we unadhan tutadumu na aman milele wkt watu wanadhulumiana TZ.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hunishawishi ndugu amri kumi za mungu kuna moja inasema usiue nyingine mpende jirani yako sasa ponda anataka tuue na kuchukia majirani zetu wakristo ponda ndio mgalatia wa kwanza na hana dini ponda ni mfuasi wa shetani kwa kutumia jina la uislamu amkeni watu

      Delete
  19. ikiwezekana huko hospitalini alikolazwa amaliziwe kabisa ili tufunge kazi muda wa malumbano na kuchafuliana amani umepitwa na wakati.

    ReplyDelete
  20. Muslim baadhi yenu mnapenda sana ugomvi usio na maana!kwa wale mlojaliwa hekima tumieni busara kidogo kukaa na wenzenu hao muwaelimishe maana ya amani!

    ReplyDelete

Top Post Ad