HENRY KILEWO AWALIZA WATU KWENYE MKUTANO MABIBO SAHARA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo akiwa anawahutubia wakazi wa mabibo-Sahara kwa mara ya kwanza toka atoke jela huko gereza la uyui- Tabora ktk mkutano ambao mgeni rasmi alikua John Mnyika, aliwaliza baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo. Hii kutokana na kuguswa na hotuba ya kamanda Kilewo ambayo ilikua inaudhunisha kutokana na simulizi ya namna alivyokamatwa na huko jela namna ya watu waliofungwa pasipo na hatia.

kiukweli inasikitisha, lakini bado alisisitiza kwa kusema 'hakuna dhambi kubwa hapa duniani kama uoga' na ' watatupiga kwa mabomu na watatu ua kwa risasi lakini na wao watakufa kwa presha ya dhambi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ashafirwa hiyo kilewo,amsalmie bwanake pia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mpumbavu sana ww,huna akili hata kidogo,unaongea maneno ya kishenzi kiasi hicho kwa binadamu mwenzio aliyetoka kwenye matatizo?ww ndy unayefirwa shetwaini mkubwa wewe

      Delete
  2. Pole Henry kileo. Ndio uanaume. Viva chadema.

    ReplyDelete

Top Post Ad