HUNITAKI TENA KWA SABABU UMEPATA MWINGINE SASA KWA NINI UNANIVUA NGUO KWA MARAFIKI ZAKO?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mimi ni Msichana wa Miaka 25 imetokea bahati mbaya tumeachana na Mchumba wangu baada ya yeye kupata msichana mwingine nimelia sana ili turudiane lakini wapi , kibaya zaidi akiwa na marafiki zake ananiongelea mimi kuwa eti sijui mapenzi ya kitandani kuwa eti huwa tukifanya nalala kama mgomba ...na mengine mengi ya siri ambayo labda ni kweli ama si kweli ....Sasa nashindwa kuelewa kwanini anivue nguo mbele ya rafiki zake baada ya kuachana ....naona aibu hata kupita mtaaani anaongea sana jamani ...Nifanyaje?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. polee mwaya ndo ilivyo unachotakiwa ni kukabiliana na hali hiyoo mwache angeee itafika wakati watachoka kumsikiliza maaana hato kuwa na chaziada wewe fanya mambo yako myn.

    ReplyDelete
  2. pole sana dada yangu huyo jamaa hachana naye asikuhumize akili yako. tulia utapata mwingine akupendeye kwa zati.

    ReplyDelete
  3. Pole sana dada kwa yaliyokusibu omba mungu atakusaidia utapata mume mungine kwani umri wako bado unadai mimi binafsi nitakuwa ninakuombe ktk kila swala zangu.

    ReplyDelete
  4. pole xana dada ang but we fanya yako tu achana nao wakichoka kuongea watakaa kimya maana maisha hawapang wao anapanga maulana

    ReplyDelete
  5. Pole mdogo wangu,usijali maneno yake kwanza huyo bwana anaonekana limbukeni,mwanaume wa kweli hawezi kupita kwa marafiki akatangaza mambo ya ndani,wewe fanya yako pita mtaani usijali mtu kua na amani kabisa...

    ReplyDelete
  6. Pole dada,dunia imebeba mengi moja wapo n hilo hapo,alichokifanya huyo jamaa kinaonyesha mashaka ktk upendo wake kwako toka awali,jitahd kuzoea hali hiyo ngumu

    ReplyDelete
  7. Kupita kuongea ni ushamba tu pole dada achana nae fanya yako sometimes kukaa kimya ni jibu la mjinga.

    ReplyDelete
  8. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  9. mijanaume mingine bana mavi tu!!!pole swty baby
    TINDIKALI

    ReplyDelete
  10. Huyo mpumbafu wako hana lolote stil anakupenda kama huamini tafuta rafiki yake umpendae tembea nae utapata jibu

    ReplyDelete
  11. Mdada kaza moyo...huyo sakala anakuongelea vibaya kwa marafiki zake ili wasikutongoze ukwel ni kwamba bado anakupeanda sana tu ingawa ana dem mwingine inawezekana kwa huyo dem kuna kitu anapata ndio maana ameeamua kukuacha ingawa bado anakupenda kwhy kuongea utumbo mbele za watu ni harakat za yy kuutetea moyo wake usije kuumia atakapokuona na jamaa mwingine...acha kulia dunian hapa kuna meng ya kufanya unapoteza muda kulia, kaza moyo mdada..
    Ze higher ze Ugal ze lower ze Mchuzi..

    ReplyDelete
  12. Jipe moyo dadangu,tenda wema nenda zako!

    ReplyDelete
  13. Huyo mwanaume anakupenda au anaona wivu kwani utampata kijana kati ya hao marafiki zake ndio mana anakuponda ili usitongozwe tena ,wewe kuwa mpole muachie mungu ,hakuna aliezaliwa anajua sex kikubwa tulia usijipe stress wakat ww badi mdogo

    ReplyDelete
  14. pole sana dada kikubwa kuwa mvumilivu,utapata mume bora ye msahau kabisa c kajifanya anatafuta mweny mauno ipo cku atakiona kwanza hao anaowatangazia ipo ck watamgeuka wakampitie huyo dem wake manake c anakupondea wewe na kumsif huyo

    ReplyDelete
  15. Wala hajakuacha ila mjinga huo anaskilizia akiona umesha mpata mwengine ataanza kujisogeza tena na kujifanya bado anakupenda ili akuharibiye be care yalishawahi kunikuta pole sana na usijipe stress utampenda mwengine zaidi yake utasahau yote kisha huo jamaa atajuta

    ReplyDelete
  16. Skia yalishanikuta kama hayo yako. Niliumia nikalia nikakonda mwishowe baada ya miez sita nkamsahau na nikamtumaini mungu kwa kila jambo. Nikawa nasali haswa. Nilikutana na kijana huyo mwaka juz mwanzon nikajuta kwanin nilimlilia yule mpumbavu, sasa nimeoana nae mwaka na nusu sasa ananipenda ajabu, na tuna mwana mvulana wa miez nane. Ananipenda jaman. Hebu tulia na sali sana mungu atajibu, na usikubali tena mwili wako uwe kiburudisho cha wapita njia. Kama ni muislam nisamehe ila kama ni mkristo soma 1yohana5:14-15. Ubarikiwe mama I

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nimependa sana ushauri wako.ubarikiwe

      Delete
  17. Dada njoo kwa hakunaga majoto huku ni mabaridi 2

    ReplyDelete
  18. Pole mdada,amini ya kwamba kisicho ridhiki hakiliki hivyo achana nae huyo jamaa,utapata mwenye kupenda,kujali na mwenye msaada kwako

    ReplyDelete
  19. WE HUNA SABABU YA KULALAMA WALA KULIA.UMSHUKURU MUNGU KWA KUKUEPUSHIA MAPEMA NA HILO TAPELI LA MAPENZI KABLA YA KUKUTUNDIKA MIMBA NA KUKUTELEKEZA WEWE NA MTOTO WAKO AU KABLA HALIJAKUSUSIA VIRUSI VYA UKIMWI.HVY MUNGU KAKUEPUSHIA KUISHI NA HILO SAKALA NA LIMBUKENI WA MAPENZI NA USJE UKARUDIANA NAE UTAJUUTA KUZALIWA.NAJUA HUYO ANAEMSIFIA KUZUNGUSHA KIUNO KAMA FENI HAO HAO ANAOWASIMULIA WATAMGEUKA WAMTOMBEE ILI WAONE HVY VIUNO ANAVYOVISIFIA KWA HUYO CHANGUDOA WAKE.NDIPO AKIGUNDUA KASALITIWA AU DEMU WAKE AKALOWEA KWA RAFIKI YAKE ATAKUJA KUOMBA KWAKO MRUDIANE.NAMI NAKWAMBIA USIJEMUACHA MPENZI UTAKAYEKUWA NAE KWA SABABU YAKE KWANI APATA MWINGINE MZUNGUSHA VIUNO ATAKUACHA.

    ReplyDelete
  20. Usilie mtoto utapata bopa la maana utayasahau yote

    ReplyDelete
  21. huyo simuoaji ila nimharibifu ila nawaomba msitoe hizo pipi kama njugu wengine wanataka tu kuwafunua ili wakajisifu ujinga kama huyo angekua anakupenda angekufundisha nakukueleza anatakaje

    ReplyDelete

Top Post Ad