HUYU NDIO MSHIRIKI WA BIG BROTHER AMBAYE HAJAWAHI KUWA NOMINATED TOKA BBA IANZE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

wpid-The-Chase-logo
Hivi unaweza kuamini mshiriki huyu ameweka rekodi ya BBA house baada ya kutokuwa nominated kwenye jumba la BBA tangu mashindano yaanze. Kitu kikubwa wanachokiangalia watu hivi sasa ni kama anaweza kushinda zawadi kubwa ya BBA The Chase kwasababu kama bahati anayo, hapa namzungumzia Beverly mshiriki kutoka Nigeria.
Unaambiwa kwa muda wa miaka kumi mshiriki huyu ambaye ni video vixen mwenye umri wa miaka 21 ndiyo ameweka rekodi ya kutokuwa nominated ili apigiwe kura za kutoka. Lets wait kuona kwamba bahati yake itambeba na kushinda huu mzigo wa dola kutoka BBA.
beve



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ameshakuwa nominated mara kibao but swapped o anakuwa head of da house so anajisave
    sema hsjawai kuwa in possible eviction
    alafu she wil nvr win maana naija wanataka Melvin na wao wako wawil so kura zao zitasplit.
    Bev was using Angelo to get vote i wonder alichokuwa anafanya inside da houz was boring

    ReplyDelete
  2. Sio kwamba anamvuto sana ndo mana hajawai kuwa nominated bt ni kutokana na kutokueleweka kwakr ndo mana hana hata intention ndani na nje ya mjengo.. ila hata akishinda c vbaya mana at the end of the day mshindi lzm apatikane

    ReplyDelete

Top Post Ad