LULU AFUATA NYAYO ZA DIAMOND KUZINDUA FOOLISH AGE MLIMANY CITY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael (Lulu) yupo teyari kuachia filamu yake ya kwanza toka atoke jela, filamu aliyoipa jina la Foolish age inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 30 mwezi huu.

Akiandika kwenye ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii leo mchana lulu aliandika.

“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu....!!!ninafuraha ya kuwafahamisha kuwa TAREHE 30/8/2013 ndio siku nitakayozindua movie ya mpya ya FOOLISH AGE....hatimaye narudi kazini!!!!Uzinduzi utafanyika katika ukumbi wa MLIMANI CITY....kutakuwepo na wasanii mbalimbali wa muziki....na pia LADY JAY DEE pamoja na MACHOZI BAND atakuwepo pia!!!nahitaji support ya mashabiki wote wa LULU na mashabiki wa BONGO MOVIE.....

Filamu hii inasambazwa ka kampuni ya PROINPROMOTERS.

Huu utakuwa ni uzinduzi mkubwa wa filamu nchini baada ya msanii wa upande wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz kufanya shoo kubwa ya mziki kwenye ukumbi mkubwa na maarufu wa mlimani city jambo ambalo sio la kawaida kwa wasanii wa filamu na muziki hapa nchini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AACHE KUTONGOZA WANAUME ZA WATU

    ReplyDelete
  2. mtoto mdogo amekalia umalaya tuu hivi hukomi wewe au unashindwa kutafuta wako mpaka wanaume wenye wachumba zao??//

    ReplyDelete
  3. andiken v2 vnavyohusu hiyo mada..mambo ya umalaya yametokea wap..umbe 2 unawasumbu

    ReplyDelete
  4. mi mwenyewe mnanikera nyie mlomponda kwenden uko watu wanajifunza kutokana namakosa yy sio malaika kias asiwe na kosa nyie vp kama huna chakuandika acha ipite umalaya umalaya unaujua ww mavi nyie

    ReplyDelete
  5. wapumulia visogo wakubwa!!! mnaboaje! mtu anafanya lenye maana na mwisho wa siku mpunga unaingia mfukoni!! nyie mmekalia malaya malaya!! mpumzisheni binti wa watu! mamaezenu!
    TINDIKALI

    ReplyDelete
    Replies
    1. mamayo zako wewe shwaini mkubwa asiambiwe yeye nani akitulize kikuma chake kama mtu ataongea peleka mavi yako huko chefuuuuu

      Delete
    2. acha wenge andika kinachohusu hiyo mada..mambo ya umalaya cjui yametoka wap?ingekuwa ni skendo chaf imeandikwa hapo ndio ndo muandike umbea wenu..maana mnakaa kuchunguza ya wa2

      Delete
  6. Mbwa nyie matako ya baba zenu mmeambiwa kutobwa ni kosa,yeye ametangaza sanaa yake sio kuma yake aiwahusu mbwa nyie wivu tu.kwani nyie amtombi au amtobwi,tena mtakuta nyie ndio wachafu kabisa sema kwavile amkulikani.pambafuuuuuuu zetu

    ReplyDelete
  7. inawezekana kuna watu hawajui kusoma Kabisa humu ndani coz haiwezekani mtu mtu unaropoka comment ambayo ni tofauti Kabisa na mada nyambafuuuuuuuu nyie nendeni shule

    ReplyDelete
  8. ha,ha,ha tehe tehe tehe,nyie mtukanane tu ila mimi ni mpita njia napita tu

    ReplyDelete
  9. Kwani kesi yake imeisha?

    ReplyDelete
  10. Hivi huyu ni mtoto au mtu mzima? Me nauliza tu.

    ReplyDelete
  11. Hivi huyu ni mtoto au mtu mzima? Me nauliza tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nashangaa eti mtoto mxiiiiu subiri awabebee mababa zao watakuja hapa kusimulia

      Delete
  12. Hivi huyu ni mtoto au mtu mzima? Me nauliza tu.

    ReplyDelete
  13. Nadhani atatimiza miaka kumi na tisa siku zijazo. Nakupongeza mdogo wangu. Mwombe mungu akufanikishe utulie tuli na usivae mavazi ya ajabu...ndo yanayokuharibia. Wanaocomment matusi wana ubongo mchache sana...hawajielewi kabisa...kila siku matusi tu..jifunzen ustaarabu

    ReplyDelete

Top Post Ad