AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ni Hamisi Mwinjuma na Ambwene Yesaya, au unaweza kusema ni Mwana F.A
na A.Y kwa mara nyingine tena baada ya kutoa “Bila kukunja goti”.
Wameingia tena studio na msanii kutoka South
Africa anayejulikana na HHP kwa ajili ya collabo.Bila kukunja goti
inafanya vizuri sana huku video yake ikisubiliwa kwa hamu kuona jinsi
walivyocheza bila kukunja goti.Vipi kuhusu hii ngoma waliyorekodi na
HPP, tusubili kuisikiliza na kui-download hapahapa.
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK