SIKUKUU IMEHARIBIKA KWANGU HAPAPIKIKI WALA KULIKA KISA CONDOM NDANI YA GARI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Juzi (Jumatano) nikiwa ofisini asubuhi alikuja rafiki yangu akataka nimuazime gari ana safari ya Bagamoyo angeirudisha jioni yake kabla sijatoka ofisi. 

Nikaona poa tu kwani ni best yangu na kweli akairudisha ishale ya saa 10 jioni hapohapo ofisini. Kidume nikaondoka kurejea nyumbani na kupitia Sokoni kwa ajili ya maandlizi ya Sikukuu. Kwa vile jana ni 8/8 hakuna aliyetoka. 

Leo wakati maandalizi ya mahunjumati yamepamba moto (Na nimealika marafiki zangu wawili (wa imani tofauti) waje tujumuke nao kama ilivyo ada, mara waifu akaingia ndani akasema kuna kitu muhimu kimekosekana hivyo nimpatie funguo awahi Sokoni Tandika kukinunua.

Nikampa na kumkumbusha juu ya kufungua boneti kucheki system za kawaida za gari kabla hajaondoka. Baada ya muda nikiamini kuwa ashaondoka, mara akarejea na kulala kitandani na kunitupia fungua za gari. Sijaelewa kinachoendelea hivyo nikawa namdadisi kulikoni. 

Akanijibu kamalizie na zile kondomu zako mbili zilizobaki, nikazidi kushangaa kwamba simuelewi, vipi kwani? Nikatoka nje na kuelekea iliko gari, Hamadi! Nikakuta Kondomu 6 juu ya kiti cha abiria na 4 kati ya hizo zimetumika ila ziko kwenye kipakti lakini zinaonekana kirahisi tu, na inavyoonyesha amezitoa katika kisanduku cha kwenye Dash-Board ya gari ambako ndipo kwenye key ya kufungulia Boneti.

Nikazidi kuchanganyikiwa na harakaharak likanijia wazo la kumpigia yule rafiki yangu, mpaka sasa simu yake haipatikani, na mapishi hapa yamesimama na hakuna linaloeleweka.

Mchango wowote wa ushauri plz! na muyakague magari yenu pindi mnapoowazima marafiki zenu!

Source:Jamii forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Try kumwelewesha mkeo polepole if not nenda kwa rafk yako ujue kulikon akafanya hvyo.

    ReplyDelete
  2. Dah too bad ila kaa na mkeo umweleweshe atakuelewa tu na pole kwa yaliyotokea

    ReplyDelete
  3. Acha kutudanganya hadi sisi izo kondumu zilikua zako bhana... cha msingi uyo msela uliye muuzia kesi hakikisha anaelewa... mkandanganye mkeo...ofcoz itakua ngumu kuamini cku mbili tatu...but eventualy uki mpetipeti ataingia king tuuu...good lucky..but next time be more careful na ayo makondomu yako..

    ReplyDelete
  4. dah!pole xana dawa hapo ni kumwelewesha pole pole tu atakuelewa!

    ReplyDelete
  5. Za mwizi zimeti100,angalia vizuri labda bikini imesalia sit ya nyuma.

    ReplyDelete
  6. Yawezekana huyo jamaa yako anakuchezea game fulani

    ReplyDelete
  7. nyie brain magando mnakazania oh zake ohy zake, kwani alishindwa nini kuzitupa baada ya kuzitumia? inaingia akilini kweli? mi naona jamaa anasema kweli kwani kama kweli ni cheater angejua pia namna ya kuongea uwongo/kujihadhari ili asigundulike, baada ya tukio angezitupa, wife asihisi chochote, tena kama ndo issue ilifanyikia kwenye gari ange take trouble kupeleka gari car wash n aku spray manukato mazuri baada ya usafi wa nguvu..nyie manachezea professional cheaters nini! ni kweli sio zake.

    kaka mleta mada, si wadada ni waelewa sana. Hebu jaribu kumwelewesha mkeo, na huyo aliyeazima gari ongea naye ili yeye ndo awe "Koffi Anann" mana amekuletea msala. si kazi rahisi hata ila ataelewa. Na kuhusu kuazimana magari na marafiki, si kitu kibaya lakini nanyi wakaka mjifunze kuheshimu mali za wenzenu. we utawekaje mikondom iliyotumika kwenye gari la mwenzio? tena kwenye draw? huo ni ushenzi tena sio ustraabu mana draw ya gari watu huweka vitu muhimu, nyaraka, pesa nk..sasa wewe hata kama gari ingekuwa yako unaweka mikondomu iliyotumika? wewE nyau sana ndo nyinyi mnasababisha wanawake tuonekane tuna roho mbaya mana next time ugomvi ukiisha usitegemee utaazima gari na huyu rafikiako, kwani bila hata wife kumkataza atasita SHWAINI we!..umechukua gari safi, unarudisha na shombo kibao...next time hupati ng'OOO..na ukamalize ugomvi lione kwanza..

    ReplyDelete

Top Post Ad