VIDEO:BOW BOW NA TYRA BANKS WAPIGANA DENDA KWENYE LIVE TV SHOW

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bow Wow alivyombusu Tyra Banks mwaka 2009 So, jana imetokea tena. Awamu hii ni katika mazingira tofauti. Ni katika show yake mwenyewe Bow Wow ya 106 & Park ya BET na Tyra alikuwa mgeni.

Awamu hii pia Tyra ndiye aliyeitaka busu hiyo. “You tryna do the remix?” Tyra alimuuliza Bow Wow.

Baadaye aliinua miguu yake na kuweka kwenye mapaja ya Bow Wow na kukutanisha lips zake laini kwa dogo Bow Wizzy. Baada ya tukio hilo, rapper huyo wa YMCMB alijisifia kuwa yeye ndio mtangazaji bora zaidi wa kiume kwenye TV...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad